rpc

XML-RPC is a remote procedure call (RPC) protocol which uses XML to encode its calls and HTTP as a transport mechanism.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    RPC Singida Badilika, wape ushirikiano Waandishi wa Habari

    Huwa ninashangaa ninapoona baadhi ya MaRPC nchini wanavyoshirikiana na wanahabari linapotokea jambo linalohitaji taarifa ya Jeshi la Polisi.....hali hii tofauti sana hapa Singida. RPC SACP Amon Kakwale hapendi na hataki kbs ushirikiano na waandishi. Mara kadhaa amekuwa akikwamisha shughuli za...
  2. Polisi ataka kumpasua RPC wa Pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia

    Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia. Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu anataka kuonyesha huhalisia wa hali iliyopo. Kisheria hii imekaaje, hapa nataka comment za kisheria...
  3. J

    Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  4. R

    PostGE2025 RPC Mbeya: Msishawishiwe kushiriki maandamno yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga, ametoa wito kwa Vijana wanaojihusisha na shughuli za bodaboda kutojihusisha au kushawishiwa kuingia kwenye maandamano yasiyo halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo vinaweza kuhatarisha amani, usalama na ustawi wa maeneo yao. Amesema jeshi...
  5. PostGE2025 RPC Safia Jongo: SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji Geita

    SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Geita imetoa kauli hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya...
  6. JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  7. M

    IGP na ukimya wa RPC Simiyu: Jamii ina haki ya kupata taarifa.

    Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu kuhusu msimamo wa Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC), ACP Edith Swebe, kutoshirikiana nao katika kuthibitisha au kutoa ufafanuzi juu ya matukio mbalimbali ya kiusalama yanayotokea mkoani humo. Kwa mujibu wa waandishi, kila...
  8. RPC Pwani akanusha mkuu wa kituo cha polisi Kongowe kuhusika kupotea kijana Hussein

    Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, kupitia kwa Kamanda wake ACP Salim Morcase limekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kongowe alishirikiana na askari Mgambo kumkamata kijana Hussein Abdallah Mkwame (26), ambaye kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani halipo...
  9. Geita itangazwe Kanda maalumu ya Kipolisi

    Enzi za JK wilaya ya Tarime walikuwa na vijitabia vya ukatili katili wakaanzishiwa kanda maalumu wakatulizwa kibabe. Njombe na Geita wana ujanja wa kizamani,ukatili na kuuana, Ushauri wangu kwa wahusika, Geita itangazwe kanda maalumu ya kipolisi na pia waweke RPC mbabe. Huyu mama Safia Jongo...
  10. RPC Safia Jongo: UTPC tusaidieni Geita, Waandishi wengi hawana Maadili

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Safia Jongo ametoa wito kwa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kuongeza nguvu na kuboresha hali ya utendaji wa Waandishi wa Habari Mkoani hapo kwa kile alichodai kuna changamoto ya utendaji na kukosekana kwa weledi. Akizungumza katika...
  11. IGP afanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa leo Juni 17, 2025

  12. B

    Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

    Makamanda Mbeya wamechafukwa: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa...
  13. Tusimlaumu RPC Muliro, Hata RPC Sirro Aliwahi Kuwakana Polisi wa Makonda Uvamizi wa Clouds Hawajui. Jee ni Hawa ni Nani Anawamiliki?

    Nimeanza kushtuka kuwa tunapoteza muda wetu bure kumuita muongo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro anaposema viongozi wa Chadema waliotekwa, kupigwa na kwenda kutupwa Ununio sio polisi wake halali. Hali hii iliwahi tokea March 2017 wakati RC wa Dar Paulo Makonda alipovamia Studio za Clouds na...
  14. B

    RPC Simiyu asema Pendo aliyedai kutumwa kumuu Luhaga Mpina hakuwa Askari wa JWTZ bali Mgambo

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii. https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
  15. RPC Mwanza ni Comedy asiyejitambua

    Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza. Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo...
  16. Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  17. Huyu hapa RPC RUVUMA alomwambia HECHE "kama unataka kufanya Mkutano RUVUMA usitaje 'No Reforms ,No Election ' "

    Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama , https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
  18. RPC Geita: Ofisi za Kata sio Kituo cha Polisi

    Jeshi la polisi mkoa wa Geita limepiga marufuku watendaji kuanzisha vituo vya polisi katika ofisi za kata bila kuwa na vibali kutoka serikalini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamshna Msaidizi Mwandamizi Safia Jongo ameyasema hayo jana wakati wa muendelezo wa semina ya polisi jamii pamoja na...
  19. RPC Geita: Askari haruhusiwi kumpiga mtu, anatakiwa kumueleza kosa lake na amfikishe Kituoni

    Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi SACP Safia Jongo ambaye ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita amesema hakuna mtu akiwemo Askari Polisi anayeruhusiwa kumpiga mtu bali anatakiwa amueleze kosa lake na amfikishe Kituo cha Polisi. Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Safia...
  20. RPC Jongo: Msikubali kukamatwa na askari asiye na kitambulisho

    Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea. Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa kauli hiyo Aprili 9, 2025 wakati wa mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…