Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa nasaha kwa Isaya Yunge, kijana Mtanzania ambaye amemuoa binti wa Rais wa Kenya, William Ruto.
Katika ujumbe wake, Rostam alizungumza kwa lugha ya Kisukuma, akimpa Isaya maneno ya hekima kuhusu maisha, heshima, uvumilivu na umuhimu wa kulinda familia baada ya...