riziki shemdoe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mwigulu: Prof. Riziki Shemdoe anatumia uzoefu wake vizuri katika utendaji kazi Serikalini, nampongeza

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa namna anavyotumia uzoefu wake wa utendaji kazi Serikalini katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo...
  2. Roving Journalist

    Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  3. Roving Journalist

    Prof. Riziki Shemdoe: Sh Milioni 675 kuboresha huduma za tiba Tabora Manispaa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi Milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya Tabora, ili kuboresha huduma za utoaji tiba kwa wananchi zaidi 45,107 wa kata ya Ipuli katika...
  4. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2024/25 imeonesha mafanikio makubwa

    Tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2024/25 imeonesha mafanikio makubwa, ambapo rangi ya kijani imetawala katika viashiria vingi vya utekelezaji, ikiwa ni ishara ya kufanya vizuri kwa mikoa na halmashauri nchini. Hayo yamesemwa Januari 22,2026 jijini Dodoma na Waziri...
  5. PAYE

    GE2025 Profesa Shemdoe aomba ridhaa ubunge Jimbo la Lushoto

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe, amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea ubunge Jimbo la Lushoto, mkoani Tanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Profesa Shemdoe amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Lushoto, Miriam Kaaya.
Back
Top Bottom