riwaya

  1. Riwaya: Mkimbizi

    RIWAYA: MKIMBIZI MTUNZI: HUSSEIN ISSA TUWA SEHEMU YA KWANZA likuwa ni msafara wa watu watano, watatu kati yao, pamoja na mimi mwenyewe, tukiwa ni waajiriwa wa Idara ya Makumbusho ya taifa kitengo cha utafiti wa masalia ya kale. Wa nne alikuwa ni mpiga picha binafsi aliyeajiriwa kwa muda na...
  2. Jumapili Februari 23, 2020 Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (Uwaridi) watakutana na wasomaji wao katika Chuo cha Posta, Kijitonyama jijini Dar

    Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo “HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi kutokea nchini. Wakati huo, mwaka 1998, Mzee Barnabas Maro, maarufu Kamba Ulaya, alikuwa mhariri wa...
  3. Riwaya fupi: Ripoti

    TITLE: RIPOTI YA MKAGUZI. SEHEMU YA KWANZA. NDANI-OFISI YA MZEE WOTA. Mzee Wota, Bwana wa miaka 60 hivi, ameketi akiwa makini akisoma kilichopo kwenye Lap top, huku akibofya keyboard ya Lap top ile. Mlango unagongwa, “ingia” anasema Mzee Wota huku bado akiwa amekazia macho kwenye Laptop...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…