risasi 16

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua. Risasi 16 na hakufa duh

    Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua Risasi 16 na hakufa duh 😢 😭
  2. M

    JamiiForums Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

    Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
  3. Manyanza

    JamiiForums Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

    Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16.. Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums GE2025 Gwajima: Lissu amepona Risasi 16, Sasa yupo Gerezani, Je, watu wake watapiga Kura?

    Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
  5. J

    JamiiForums Tundu Lissu asiye na Ulinzi risasi 16 kapona, Ebrahim Raisi mwenye Ulinzi kafia porini. Atukuzwe Mungu wa Israel!

    Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti. Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake na risasi zikaishia miguuni huu ni muujiza Muujiza wa pili ni Beki 3 Kuendesha Gari kwa Kasi ya...
Back
Top Bottom