ripoti ya cag

  1. Waufukweni

    Kanisa la wa Sabato Tanzania lakanusha taarifa za kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini, lasema halijapokea ripoti ya CAG

    Uongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania unapenda kutoa ufafanuzi kufuatia taarifa iliyosambazwa na vyombo vya habari kuhusu Bodi ya Wadhamini wa Kanisa, yenye kichwa cha habari kisemacho, "Bodi ya wadhamini ya Kanisa la Waadventista wa Sabato yavunjwa kwa tuhuma za ubadhilifu."...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Ally Hapi: Ripoti ya CAG sio hukumu ya mahakama

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi. Akiongea...
  3. Waufukweni

    Kigwangalla: Watumishi wanaotajwa na CAG wawajibishwe, Ripoti iwasilishwe Bungeni kudhibiti Madaraka makubwa ya Watendaji

    Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla amependekeza maazimio na mapendendekezo yanayotolewa na Bunge kuhusu ripoti ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG yasiishie tu hewani bali wanaotajwa kwenye ripoti wawajibishwe huku akisisitiza kanuni zitakazoboreshwa zizingatie mfumo wa...
  4. Roving Journalist

    ACT Wazalendo yafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024, leo Mei 10, 2025

    ACT Wazalendo wanafanya Uchambuzi wa Ripoti ya CAG 2023/2024 Mei 10, 2025 https://www.youtube.com/live/Ltw_Nm2uc64?si=u_-wloQzSYNSmXcg UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2024 “Ubadhirifu, Uozo na Ufisadi...
  5. Waufukweni

    Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  6. Mindyou

    Ripoti ya CAG: Kuna Tshs Milioni 892.92 zililipwa bila Serikali kupokea uthibitisho kuwa miradi imetelekezwa

    Wakuu, CAG ameendelea kuibua madudu yaliyopo kwenye sekta mbalimbali hapa nchini ofisi yake imebaini kuwa miradi minne ililipa jumla ya Sh. 892.92 kwa mafundi na wakandarasi kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu bila kutumia nyaraka za vipimo, nyaraka ambazo zinathibitisha kazi...
  7. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG: Ucheleweshaji wa Soko la Kariakoo na Mwanza ulisababisha ongezeko la Bilioni 1.35

    Ukaguzi wa kiufundi wa ukarabati na ujenzi wa Soko la Kariakoo, Soko Kuu la Mwanza, na Kituo cha Mabasi cha Nyamhongolo umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usanifu, na usimamizi wa mikataba, hali iliyosababisha ongezeko la gharama na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi. Kusoma...
  8. Dalton elijah

    Mukhatasari wa Ripoti Ya CAG kuhusu Mashirika ya Umma kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUHUSU UKAGUZI WA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Ripoti hii inaonesha ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2024. Inajumuisha utendaji wa kifedha na uendeshaji wa mashirika ya umma...
  9. Waufukweni

    Ripoti ya CAG: Magari 552 yametelekezwa, hayatengenezwi wala kuuzwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imebaini uzembe na ucheleweshaji wa maamuzi katika taasisi mbalimbali za umma, hali iliyosababisha mali za serikali zenye thamani ya mabilioni ya shilingi kutotumika kwa muda mrefu, huku nyingine...
  10. Dalton elijah

    Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  11. Dalton elijah

    Mukhutasari wa Ripoti ya CAG Upande Wa TAMISEMI Kwa Mwaka 2023/2024

    UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
  12. Waufukweni

    David Kafulila: Matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma . Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais...
  13. Waufukweni

    Jerry Silaa: CAG amempongeza Rais Samia

    Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema "Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ile Ibara ya 143, Ibara ndogo ya 4 ya Katiba ya kupokea taarifa na...
  14. J

    VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

    Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali, Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
  15. Mr Why

    Bara la Afrika litaendelea kuitwa masikini na majina mengine ya ovyo mpaka litakapotunga na kutekeleza Sheria ya kunyonga wahujumu uchumi

    Bara la Afrika litaendelea kuitwa Masikini, Shamba la bibi etc, mpaka pale litakapotunga na kutekeleza Sheria ya kunyonga Wahujumu uchumi Bara la Afrika limekuwa likitupiwa lawama za kila aina kwa madai ya kuwa linaonekana kama halina watu makini, nchi zake kuwa na maisha ya duni na mengineyo...
  16. Cute Wife

    Zimwi la IPTL ni mfupa uliomshinda fisi?

    Baada ya miaka 11 ya kuibuka kwa kashfa ya Tegeta Escrow mwaka 2014 iliyoihusisha Shirika la Umeme (Tanesco) na Independent Power Ltd (IPTL), sakata hilo limeendelea kuibuka kila mara likija na madai kwa Serikali. Jana Machi 27, wakati Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles...
  17. Mkalukungone Mwamba

    Furaha Dominic: waliohusika katika ubadhirifu wa fedha uliobainishwa kwenye ripoti ya CAG watolewe kafara ili iwe mfano kwa wengine

    Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha...
  18. Abraham Lincolnn

    Ripoti ya CAG; Matumizi yasiyokuwa na tija ni zaidi ya Bilioni 300

    Huyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
  19. Tlaatlaah

    Kupata 99% ya hati safi za matumizi ya fedha za umma katika taasisi, mashirika na idara za serikali kunadhihirisha nia njema ya Rais Samia

    Kupata hati safi kwa 99% baada y ukaguzi wa matumizi ya fedha za waTanzania kwenye mashirika, idara na taasisi za umma, ni kielelezo tosha muhimu sana cha uwazi, uwajibikaji, utawala bora na utawala wa sheria kinacho dhihirishwa bayana na nia na dhamira njema ya Dr.Samia Suluhu Hassan katika...
  20. M

    PreGE2025 Kwa vigezo vipi na sababu zipi za kumpa mitano tena?

    Kakopa matrilion ya mapesa na kuvunja rekodi ya marais wote waliowahi kushika uongozi na kwamba pesa hizo wapi zimetumika, hatuoni, Trilion 15 kwa mwaka mmoja? Jamani, hizo pesa ni nyingi sana, pesa hizo zinatosha kabisa kuufanya uchumi wetu kukua kwa kasi na miradi mingi kukamilika Trilion...
Back
Top Bottom