Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
Juzi waziri wa Muungano na Mazingira Hamad Masauni(Mzanzibari) alimkemea na, kumdogosha na kumdunisha naibu wake Reuben Kwagilwa kuwa "ziara za naibu waziri zisiwe za kufunga viwanda".
Aliamua kumdhalilisha hadharani hata hakutaka kusubiri vikao vya ndani, kwanza nafikiri aliona anamfunika...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuendelea kuwasimamia watendaji walio chini yao ili watatue changamoto za wananchi kwa wakati, badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu ndipo hatua zichukuliwe.
Maelekezo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.