refinery

A refinery is a production facility composed of a group of chemical engineering unit processes and unit operations refining certain materials or converting raw material into products of value.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Njooni Tujichange Twende Tanga Tujenge Kiwanda Cha Kusafisha Mafuta Ghafi (Petroleum Refinery). Mafuta tutanunua Uganda

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta Tanga. Yaani fursa ipo hapa tutakua tunanunua mafuta yanayopita...
  2. Yesha

    Conflict in Iran spills over to Africa’s largest oil refinery as fuel prices surge

    Fuel prices from Nigeria’s Dangote Refinery, the world’s largest single-train refinery, are set to rise following a sharp increase in gantry prices, driven by higher global crude oil costs linked to escalating conflict in Iran and the wider Middle East. According to Business Insider Africa...
  3. Dennis Robert Shughuru

    Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

    Ukiwa na integrated refinery unakua umeua ndege watatu kwa jiwe moja nikimaanisha natural gas refining, crude oil refining, na petrochemical plant zinaweza kuwa sehemu moja na wako ambao wameshafanya hivyo kama gujarat refining India na dangote refining nigeria
  4. Meneja Wa Makampuni

    Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga sio ndoto bali fursa halisi ya kifedha na kiuchumi. Kwa kuwepo kwa bomba la mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga, unaweza kufanikiwa kwa urahisi zaidi. Bomba hili litakalobeba mafuta ghafi (crude oil) kutoka Uganda litakufungulia fursa ya...
  5. D

    Uganda wana import Gold from Tanzania kwani hapa hamna refinery?

    Nimeona the citizen wanapost kuwa uganda ina import zaidi kutoka Tanzania kuliko Kenya kijuujuu hii ni habari nzuri lakini ukicheck una kuja kuta ni gold/dhahabu ndo inaongoza sasa naijiuliza kwani hapa Bongo hamna refinery mpaka wanapeleka Uganda? Au kuna nini Uganda ambacho kinafanya...
Back
Top Bottom