rc mtanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChekoFagia

    PostGE2025 RC Mtanda: Mwanza ni salama kuweni na amani, Ile video sio ya leo, ni ya zamani Oktoba 31

    Mkuu wa mkoa Mwanza amesema kuwa mkoa uko salama mpaka leo saa 12:18 mchana hakuna tishio lolote la kiusalama, Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akielezea kuhusu hali ya usalama jijini Mwanza, leo Desemba 9, 2025.
  2. Roving Journalist

    Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025. Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
  3. Roving Journalist

    RC Mtanda atoa maelekezo kwa Mdau aliyedai kuna Kiongozi anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuwasilisha dokezo akihoji Kiongozi gani wa juu ambaye anamlinda mtuhumiwa wa Ulawiti kwa Mtoto kutoka katika Kituo cha Polisi Kirumba, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa maelekezo kwa Mwananchi huyo kuhusu kipi anachotakiwa kukifanya. Kusoma...
  4. W

    PreGE2025 RC Mtanda asisitiza amani kuelekea uchaguzi mkuu

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa wafanyakazi nchini kuhakikisha wanadumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, akisema amani ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii. Mtanda ametoa kauli hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika...
  5. Just Pray

    RC Mtanda: Serikali hatuwezi kuchukua kispika cha Ahmed Ally cha kuuzia kunguni kutoa taarifa, tunafanya kazi kama Ally Kamwe

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali, Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rc Mtanda afungua mafunzo ya elimu ya uraia na utawala bora Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya Uraia na Utawala Bora. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo mapema leo Machi 03, 2025 wakati alipokuwa...
  7. Just Pray

    RC Mtanda: Awaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko hilo ili waendelee na biashara zao, kama walivyohakikishiwa na serikali. Mtanda ameyasema hayo alipokutana na wafanyabiashara hao...
  8. Mkongwe Mzoefu

    Pamba Acheni Kumfurahisha RC Mtanda Mtashuka Daraja Bure na Hamtapanda Tena Kizazi Hiki

    Timu ya Pamba ni kama imesha jitambua hasa mzunguko huu wa pili na kuna dalili inaweza kuepuka kushuka daraja na watu wa Mwanza waliopambana kuipandisha wakabaki na furaha. Lakini sasa limebaki tishio la mlezi wenu RC Mtanda kutaka kuitumia timu hii ya wana Mwanza kwa manufaa yake binafsi na...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 RC Mtanda akana kuhusika kukamatwa kwa makada na viongozi 20 wa CHADEMA Mwanza

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake. Asubuhi ya saa 3:30 kuelekea saa 4 kamili viongozi na wanachama wa chama hicho wakiongozwa na Katibu wa...
  10. W

    RC Mtanda asema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa Sungusungu

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Serikali ya Jamhuri ya Muumhano wa Tanzania inalitambua na kuthamini mchango wa Walinzi wa Jadi (Sungusungu) na kuwataka pia kufanya kazi kwa kuzingatia haki, kanuni na sheria za nchi. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo leo Februari 20, 2025 kwa nyakati...
  11. W

    PreGE2025 RC Mtanda azungumzia suala la Katibu wa BAVICHA- Mwanza kupotea, asema serikali haina lengo la kumteka yeyote yule

    Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo, Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi "Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na...
  12. ESCORT 1

    Je wachezaji wa Pamba Jiji wanabet? RC Mtanda awaonya

    Wakati kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa ameshawanasa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakijaribu kuihujumu. . Kauli hiyo ya kushtua ya Mtanda...
Back
Top Bottom