rc makonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Ushauri kwa RC Makonda kuhusu wadudu, sasa wamezidi

    Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu. Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba jeneza, mara wamefanya hivi yaani vituko na maajabu. Kumbuka ulitoka Dar, Mfano Dar unapowapa...
  2. Just Pray

    PreGE2025 RC Makonda: Barabara Arusha ni ajenda ya kila kiongozi kuanzia ngazi ya mtaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu. Makonda ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Aprili 26, 2025, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Arusha: Viongozi wa dini waungana kumfanyia maombi RC Makonda

    Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake na ustawi wa Mkoa wa Arusha. Ibada hiyo ya Pasaka – Ijumaa Kuu imefanyika katika viwanja vya...
  4. Just Pray

    RC Makonda: Migogoro iliyopo inazungumzika tusisubiri tatizo likatokea, tukapiga kelele dunia ikajua, tunajiumiza kwa kutoonekana kuwa na hekima

    Wananchi wa Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokoni 1 mkoani Arusha wamelalamikia ubovu wa kivuko eneo la Darajani. Wameeleza hayo leo Aprili 15, 2025 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda aliyefika kuwasikiliza. Baada ya kusikiliza kero hiyo, Makonda ameahidi kufuatilia suala hilo kwa...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Bila woga mwananchi atema nyongo mbele ya RC Makonda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Atembelea Muriet Kufuatia Malalamiko ya Wananchi Kuhusu Kivuko Kibovu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, leo ametembelea Mtaa wa Muriet, uliopo katika Kata ya Sokoni 1, kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu kushindwa kutekelezwa kwa ahadi ya kujengwa...
  6. Carlos The Jackal

    Waziri Afya, RC Makonda na RMO Arusha, Tuhuma za Mjamzito kuambiwa Atoe Pesa za Upasuaji Kujifungua, kubadilishiwa Mtoto wake, Zifatilieni haraka

    Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa . RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa. Sasa huko Arusha , Hospital ya Mount Meru kumetokea tukio. Hili Tukio ni Mama akiomba kusaidiwa apewe mtoto wake akidai...
  7. Waufukweni

    VIDEO: RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake

    RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake, ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika; "Maisha yako ya kila siku ni ndoto ya watu wengi sana mtaani. Nimefuatilia historia ya huyu kijana, si tu kwamba inaumiza bali ni uhalisia wa maisha ya vijana wengi, hasa...
  8. W

    PreGE2025 RC Makonda amsapoti muuza nyanya kwa kumpa shilingi laki moja

    Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge. === Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya kutambua na kuthamini juhudi za vijana katika kujitafutia riziki. Serikali inaendelea kushirikiana na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Bibi wa miaka 74 apewa bajaji na Tv na RC Makonda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Machi 08, 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  10. mwanamwana

    PreGE2025 Arusha: RC Makonda aiagiza TAKUKURU kumhoji Mrisho Gambo upotevu wa Tsh. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia waendesha pikipiki maarufu bodaboda. Fedha hizo zimepotea na...
  11. GENTAMYCINE

    Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  12. GENTAMYCINE

    RC Makonda Sifa nyingi kumbe Mkoa wa Arusha hauna Stendi ya Uhakika wa Mabasi na Wakazi wanalalamika Kutwa

    Ndiyo maana wenye Akili tunakudharau kwani tunajua kuwa hizi Sifa zako zote za kuja na Kampeni za kila aina sijui Land Rover Day mara Nyama Day mara Couples Day na nyinginezo zisizo na Sifa wala miguu ni dalili ya Kiongozi Goi Goi ambaye anapenda Cheap Popularity ili kuyaficha Madhaifu yatonayo...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Ulega katika kikao kizito na Makonda na Mrisho Gambo, akituliza hali baada ya kurushiana maneno

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, (kulia) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Arusha. Haijafahamika watatu hao walikuwa wanazungumza nini lakini lugha ya picha inaonyesha...
  14. B

    PreGE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
  15. M

    RC makonda akinukisha Arusha, shamrashamra za new year 2025 za fana.

    Happy new year 2025 wadau wote wa JF. Kama mlivyosikia, sherehe za kupokea mwaka mpya kitaifa zimefanyika Arusha. Wakati dar Mwamposa akivukisha watu na chao, na kule Mwanza wakiomba kutoka viwanja vya Nyamagana. Arusha imekuwa ni habar nyingine kabisa. Vibe la kufa mtu. Mitaa inayoingia...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Arusha: Mama Fatma Karume amtembelea RC Makonda, aongoza dua nzito kumuombea kheri

    Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea? Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na kuongoza Dua maalumu ya kumuombea Kheri, afya njema na mafanikio zaidi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda akionesha...
  17. Nehemia Kilave

    RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

    Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma . Tar 31 ni mkesha mkubwa . Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
  18. Poppy Hatonn

    Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  19. ngara23

    RC Makonda anahitaji tiba ya Kisakolojia

    Najua ni mtendaji mzuri haswa, naamini Bado tunahitaji huduma yake, Toka ateuliwa kuanzia kuwa mwenezi hadi mkuu wa mkoa wa Arusha nimekuwa nikimfatilia. Inaonekana RC Makonda ana kidonda na machozi moyoni yaani ana maumivu na visasi, anaamini Kuna maadui wanamtafuta Utendaji wake Arusha sio...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Makonda: Tangu nimepata uenezi sijawahi kuchukua hata sh 100 kwenye mshahara wangu, huwa natoa yote sadaka!

    Wakuu, Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni! Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
Back
Top Bottom