ratiba

Ratiba Hefny (Arabic: رتيبة الحفني‎; 2 December 1931 – 16 September 2013) was an Egyptian and an international Opera singer (Soprano) who has performed in more than 500 opera performances. She was the dean of the Higher Institute of Arabic Music in Cairo. She became the director of the Cairo Opera House in 1988.
She grew up in a musical family, her father Mohamed Ahmed El-Hefny has written more than 45 books on music, and her grandmother to her mother was of a German origin, who also was a German opera singer. Ratiba started playing the piano at the age of five.
She also gave her singing voice to Snow White in Snow White and the Seven Dwarfs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

    Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka: 1. SIMBA VS PAMBA 2. YANGA VS GEITA 3. AZAM VS POLISI 4.COASTAl VS KAGERA NUSU FAINALI: Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
  2. JamiiForums Tanzania Ratiba ya mazishi mwili wa Balozi Edwin Rutageruka, kuzikwa Bukoba Februari 19

    Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Tanzania, Balozi Edwin Rutageruka aliyefariki dunia 13 Februari, Hospitali ya Agha Khan, Dar es Salaam, utazikwa Bukoba mkoani Kagera Jumamosi hii Februari 19, 2022.
  3. JamiiForums Tanzania Anayepanga ratiba za shughuli Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni nani?

    Habarini wazalendo wenzangu. Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya? Suala la pili ni hizi ratiba za kila siku kushinda Kigoma huyu mzee kila akionekana kwenye ramani, ina maana yeye ni...
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO Kilimanjaro yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    Salaam Wakuu, TANESCO kilimanjaro imetoa ratiba ya matengenezo ya miundo mbinu na namna ambavyo mgao utafanyika kuanzia Februari 1 mpaka Februari 10. Tazama ratiba hii katika picha hizi hapa chini. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  5. JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais na kula kiapo cha utii kwa Rais, sio Spika. Hatakubali ratiba ya kumhujumu Rais iingie Bungeni

    Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze. Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi ambayo Amiri wake ni SSH, wanamtii, hii ni pamoja na maafisa usalama wa pale Bungeni, Wana utii moja kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugai shughulika na Tanesco Wanakata umeme hovyo pasipo ratiba Kibaigwa achana na malumbano ya mikopo ya nchi

    Wanabodi salaam, Nianze kwakusema natambua maelekezo tunayopewa kwamba nchi yetu inakumbwa na tatizo la umeme kutokana utegemezi wa umeme wa maji na kwa sasa nchi imekumbwa na hali ya ukame hivyo kuathiri upatikanaji wa umeme maeneo mengi nchini. Hata hivyo kinachoendelea kwenye Jimbo la mh...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

    Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Ratiba ya Mtanzania (Daily Routine) ikoje wadau?

    Naomba kujua, Mtanzania mtu mzima ambae si mwanafunzi. Daily Routine yake ikoje toka anapoamka mpaka anapoenda kulala? Maana naona zaidi ya 85% ya watanzania hawako bize kabisa. ikitokea tukio hata la mtu kuibiwa simu katikati ya Jiji, watu wanajaa kutazama zaidi ya saa nzima na wanakaa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mamlaka ya maji safi na maji taka Dar es Salaam imetangaza mgao wa maji jiji la Dar es Salaam kanda ya Kinondoni ili kupunguza kero kwenye maeneo yanayotajwa kuwa na msukumo mdogo. Katika ratiba hiyo wakaazi wa Masaki, Mikocheni na Obey wameula, watapata maji saa 24 siku saba za wiki. Baadhi...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kero yangu kuhusu "Timetable" kwa mabasi ya mikoani

    Habari wanajamii, Aisee nimekuja kuweka kero yangu hapa nikitumaini pengine mamlaka husika zitaona na kuangalia namna ya kutatua changamoto hii. Nianze kwa kupongeza Serikali na mamlaka husika namna zinajitahidi kupunguza madhara yatokanayo na ajali za barabarani hususani kwa mabus. Siku hizi...
  11. JamiiForums Tanzania Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

    Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini. ATCL inatua Chato mara tatu kwa wiki na ikiwa imejaza abiria.
  12. R

    JamiiForums Tanzania TANGAUWASA fuateni ratiba ya mgao wa maji basi

    Hatuna shida na mgao wa maji. Basi fuateni ratiba ya mgao wa maji mliyoitangaza. Jana mpaka leo hatuna maji!
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Simba Ligi kuu 2021/2022 (Mechi zote)

    Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022. Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye Sunderland. Mwaka 1971 rasmi waliitwa Simba. TAZAMA FULL RATIBA KWENYE VIDEO! 👇👇
  14. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Yanga Mechi Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022

    Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba...
  15. JamiiForums Tanzania LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

    hapa ni ukumbi wa TFF
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe ratiba ya ligi kuu 2021/22 bado tu haijatoka?

    Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama?? Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december? Ratiba za EPL, BL zilishatoka tangu June, hawa wapumbavu huku bado wanasubiri nini?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  18. JamiiForums Tanzania Ratiba mpya ya Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi kutolewa agosti 5

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema . Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa , hivyo hawana sababu ya kuyasitisha . Ushahidi wangu : Kauli ya Msemaji wa Jeshi...
  19. JamiiForums Tanzania Mtaala wa Elimu ya Taifa unairuhusu TAMISEMI ngazi ya Mkoa kuratibu na kusimamia shughuli za Shule ikiwemo ratiba za masomo

    Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

    Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…