rasilimali za nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo

    Kuwe na mjadala mpana kuhusiana na agenda zisizo rasmi za kuuza rasilimali za nchi kwasababu misaada imesitishwa lazima tujue nani chanzo. Kama misaada hakuna nani amesababisha isitishwe ni watanzania au samia ? yani mtu mmoja sharti aondoke misaada ifunguliwe na sio kuuza rasilimali zetu...
  2. Keynez

    Rasilimali za nchi hatizakiwi kutumika kumtetea mtu yeyote yule katika Mahakama ya ICC

    Tanzania imekuwa na ujinga mmoja ambapo rasilimali za nchi zimekuwa zinatumika kumlinda, kumtetea na hata kufungulia mashtaka watu kwa kesi binafsi za kiongozi. Unaweza kukuta mtu anachapisha jambo fulani kuhusu kiongozi fulani, ambalo labda jamii, muhusika au vyombo vya serikali vinalitafsiri...
  3. MakinikiA

    Mwigulu unapolalamika wananchi wako wanachonganishwa ili Mabeberu wachukue rasilimali za nchi hii, una mkakati gani kuhusu uranium, lithium?

    Kwa kifupi Lithium ipo Kilimanjaro, Uranium pale Namtumbo. hivi hamjui kwamba mkijifunga mkanda nyie wenyewe matumizi yenu na ma v8 yenu semina, warsha, kongamano safari za nje, malipo HEWA, mnaweza kupata pesa za kufanya project hizo kuliko kupayuka tu kwenye majukwaa na kulialia kwamba...
  4. R

    Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  5. K

    PostGE2025 Ulinzi wa Dola uliotumika Desemba 9, 2025 kwanini usitumike katika kulinda Rasilimali za Nchi na ufisadi usitokee?

    Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea viti maalum Iringa: Ulitumia rasilimali za nchi kujali utu na uhai

    Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Iringa amesema Rais Samia atakwenda kuwekwa kwenye historia kwa kutumia rasilimali za nchi kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya . Ameyaeleza hayo katika muendelezo wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025 ,ambapo amesema alama imewekwa kwa...
  7. Chibike

    Naomba kujibu hoja ya Kafulila kuhusu rasilimali watu na rasilimali za nchi

    Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake. Naomba...
  8. Carlos The Jackal

    Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  9. W

    Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  10. W

    Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Heche: Msimamo wetu wa kulinda rasilimali mpaka mwisho uko pale pale, wakimfunga Lissu wengine tutasonga mbele

    Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi wamejiondoa rasmi katika kushiriki uchaguzi mkuu 2025 ametoa msimao wa chama, ambapo amesema...
  12. Carlos The Jackal

    Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  13. K

    Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  14. J

    Nchi hufilisika pale inapokuwa imeweka rehani rasilimali zake zote na siyo inapofeli kulipa Wakandarasi

    Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena. Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo. Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii...
Back
Top Bottom