rais

  1. JamiiForums Tanzania Msanii wa Muziki Patience Namadingo amuuliza maswali magumu na kutoa hoja nzito Rais wake wa Malawi, Chakwera

    Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was upon receiving the invitation to engage in a conversation with President Lazarus Chakwera. Addressing...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki yarindima, wana Kanda ya ziwa kufurika Mwanza 30 April 2025 Rais Samia akizindua daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki

    Kazi iliendelea. Kenya wameandika Afrika Mashariki imetanda habari za uzinduzi wa daraja refu kuliko yote katika ukanda huu. .
  3. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu JK Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville)

    Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), COLLINET MAKOSSO Anatole. Anatole alipokea ujumbe huo wa maandishi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis...
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia ametuhakikishia Tanzania ni salama

    •Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndumbaro: Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote mmelipiwa na Rais Samia

  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais TAHLISO: Tumieni nafasi zenu za kuwa wasomi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  10. JamiiForums Tanzania Protocol za Makamu wa Rais Mteule

    Mwenye kujua Protocol ya Makamu wa Rais Mteule, 1. Ulinzi? 2. Msafara [Idadi ya Magari] 3.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wameshindwa kuelewa mtego Sasa twende taratibu

    "The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." — Steve Bi Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfano Rais Dr Samia Suluhu Hassan, akiamkia gerezani kesho kumwona Lissu itakuwaje? Alimuona Kenya na akaenda Ubelgiji pia

    Basi leo wakati wa jioni baada ya mihangaiko nikawa nafanya mazoezi. Ni kawaida yangu kufanya angalau mara tatu kwa wiki. Kwa kuwa tuko ktk kipindi cha maombolezo kipindi cha kuomba toba na neema ya Mungu nilikuwa nasoma Biblia Kitabu Cha Daniel kuanzia sura ya kwanza hadi ya 11 kwa njia ya...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ingemtokea mpambe wa Rais (ADC) wangefanyaje?!

    Habari ja jioni wadau. Kuna jambo nimejiuliza nikakosa majibu nikaona niwashirikishe wadau saa nyingine yupo mwenye uelewa akanisaidia kunielimisha. Ni kuhusu tukio lililotokea siku za karibuni la mmoja wa walinzi wa mheshimiwa rais kushikwa na kizunguzungu na kulazimika kwenda kupumzika. Ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini siku Mjumbe Maalum wa Kumuwakilisha Rais Samia duniani ni Rais Mstaafu Kikwete na siyo Makamu Mipango au Premier Majaliwa?

    Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku jijini Addis Ababa April 11, 2025. Mhe. Kikwete pia aliwasilisha Salamu za Rais Samia ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  18. JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  19. JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea makumbusho ya Muasisi wa Taifa la Angola, Agostinho Neto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia amepokelewa kwa heshima ya kijeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…