rais

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana kwa mazungumzo na Rais wa Kosovo

    Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Mhe. Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini Prishtina, Kosovo tarehe 1 Juni 2025. Mazungumzo ya viongozi hao yalijikita katika...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Makinda na mh Sumaye kwenye tuzo ya heshima ya rais Samia.

    Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Bunge linatoa Tuzo kwa Rais kupitia jina la CCM? Hili ni jambo la hatari kwa Katiba yetu

    “Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.” Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa pongezi kwa Rais Samia kwa kupewa tuzo na Bunge

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Unakumbuka Mkurugenzi wa CRDB Bank aliposema wamefungua tawi Chato kwa kuwa utafiti umefanywa na Rais Magufuli?

    Rais John Magufuli akielezwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei baada ya kufungua tawi jipya la benki hiyo lililopo Chato Mkoani Geita. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji, March 9, 2018. Picha na Othman Michuzi. SEHEMU YA STORI YA MWANANCHI...
  8. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais haya ndo mambo ambayo ningefanya kwa watanzania

    If I could be a president. Ninge-ruhusu wagombea binafsi . Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina majungu na michezo michafu. Kutokuwepo kwa wagombea binafsi ni hasara kwa Taifa . Tunaishia kupata...
  9. N

    JamiiForums Tanzania IGP Camilius Wambura amepoa sana, Rais mweke CP Awadh Juma Haji

    Huyu IGP wa sasa Camilius Wambura mbona hata kuongea Kiswahili hawezi, ni mtanzania kweli. IGP anatakiwa mtu kama Awadh Juma Haji au Jumanne Muliro, lazima awe very strong, anayeelewa mambo ya siasa na propaganda zake. Hizi propaganda za utekaji tungekuwa na IGP strong zingeshamalizwa. IGP...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Rais anasema sio wajibu wa serikali kutengeneza ajira, msoma ilani anasema watatengeneza ajira milioni 8

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo. Heche ameyasema hayo...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri John Heche akamatwe haraka na kushtakiwa kwa . matamshi hatarishi yanayoharibu tashwira nzuri ya taifa na Rais wetu

    Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia Yanibubujisha Machozi Ya Furaha Mpaka Kuvimba Macho Utafikiri nimeng'atwa na Nyuki waliochokozwa katika Mzinga wao

    Ndugu zangu Watanzania, Maneno yana nguvu,maneno yanaleta hamasa,maneno yana leta ushindi ,maneno yana ponya ,maneno yanaweza fanya Mtu akaingia uwanja wa vita bila silaha mkononi kupambana na mwenye silaha ya kivita na akashinda vita bila silaha, maneno yanaleta amani ya moyo ,maneno yanaleta...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Rais Samia ameagiza kwamba mchakato wa kuchuja wagombea awamu hii unapaswa kuwa na uangalifu mkubwa ili kuzuia CCM isije kuwa Gwajiminized "Vikao vinavyoenda kuchuja wagombea wakatendee haki. Anayefaa aambiwe anafaa asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja mbili...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Huwezi kumtikisa Rais bila Kuitikisa nchi

    “Kwa mujibu wa Ibara ya 33(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana taswira tatu muhimu. Rais wetu ni Mkuu wa Nchi; Rais wetu ni Kiongozi wa Serikali; na Rais wetu ni Amiri Jeshi Mkuu. Kwa utambulisho huu wa kikatiba, Rais wa Jamhuri ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Rais kwa kumuondoa Abdu -Razak Badru pale PSSSF

    Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake. Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini hajali. Huduma mbovu sana, wale watu wake wanaopokea simu wanajibu wanavyotaka,mtu anafuatilia...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: CCM inawachama milioni 13 yoyote anayefikiria kukipasua chama hiki ajifikirie mara mbili mbili

    === Chama Cha Mapinduzi CCM Tanzania sasa rasmi kina wanachama 13,000,670, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM. Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…