rais

  1. JamiiForums Tanzania Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

    Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal. Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Rais Samia hajawahi kuwa mbaguzi, ni mvumilivu, akitukanwa hajibu, CCM haina muda kujibizana

    Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa: "Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni...
  4. JamiiForums Tanzania Leo, January 19, 2026, ni siku ya Dr. Martin Luther King, Jr., lakini Rais Donald Trump kaipotezea!

    White supremacy iko kwenye DNA yake Trump hata kama akijaribu kujificha here and there! https://www.usatoday.com/story/news/politics/2026/01/19/donald-trump-doesnt-acknowledge-martin-luther-king-jr-day/88252240007/
  5. JamiiForums Tanzania Kama Rais anajibiwa, kukosolewa na wakati mwingine kubagazwa Mwacheni Mzee Warioba naye apewe dozi. Demokrasia hiyo. Inahitaji uvumilivu.

    Hamjambo wote! 1. Watibeli tunafuatilia Kila hatua inayoendelea. 2. Kwenye Haki, kile unachotendea wengine hata kama hakistahili nawe unatakiwa kutendewa kitu hichohicho. Hiyo ni HAKI. 3. Haki ni nzuri kwenye kuitamka na inavutia Sana lakini utekelezaji wake haufurahishi ingawaje unaleta...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa 'ushindi' wake wa kishindo Samia aweza kuwa rais anayekubalika kuliko wote ulimwenguni

    Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Mwambieni rais haramu na wambura na mgunda tuna chukulia wauwaji kama waasi wa nchi hilo jeshi sio la baba zenu mmelikuta na mtaliacha mtaona moto

    Mwambieni rais haramu na wambura na mgunda tuna chukulia wauwaji kama waasi wa nchi hilo jeshi sio la baba zenu mmelikuta na mtaliacha mtaona moto. Hatucheki na wapumbavu wakatafute wapumbavu wenzao huko wakae wapige zogo sio sisi. watu hawa wanapaswa kutengwa kwa sasa kama wanafikiri mziki ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia, Niko chini ya miguu yako Rais Samia

    Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31. Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mbele ya Mabalozi imeonyesha alikusudia kabisa kilichotokea Oktoba 29

    Nimeshangaa sana mimi kama Mwalimu. Rais Samia pia alikiri changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa utulivu siku ya uchaguzi na muda mfupi baada yake, akisema: “Licha ya mafanikio haya makubwa, kwa masikitiko tunatambua changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
  11. JamiiForums Tanzania Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya kufungulia mwaka kwenye gazeti la Leo la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-tathmini-yangu-kuhusu-hotuba-ya-rais-samia-kuaga-mwaka--5325972 Makala hii pia imetoka kwenye gazeti la Nipashe Asante Rais Samia Hotuba Mwaka Mpya, Kubwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikisikia mnagombana nitawafukuza wote

  13. JamiiForums Tanzania Mwandambo anakuambia hana shida na Rais halafu muda huohuo anahadithia alivyolazwa kwenye chumba chenye wadudu

    Hamjambo! 1. Kuna mambo yanafurahisha Sana nchi hii. 2. Wapo watu waliokuwa wafuasi wa Mwandambo Mzee wa nachoka kabisa. 3. Kuna watu ni wafanya vichekesho, vituko, content creator. Sasa ni kosa kubwa kushindwa kuwatofautisha na wapigania Haki. 4. Kwani utajikuta unadandia mitumbwi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Samia zinanichanganya sana. Je, nijinyonge kwa Ajili ya nchi yangu ndo mjue naipenda?

    Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu? Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
  16. JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  17. JamiiForums Tanzania Mara: Mama wa mtoto aliyepigwa risasi atuma salamu kwa Samia

    Mama mmoja huko Mara ametuma salamu kwa Samia akidai kuwa mwanae aliuawa October 29 alipoenda Dar katika harakati za kutafuta maisha. Mtoto wake alitoka Mara na kwenda Dar kufanya kazi ya upambaji kwa muda lakini ilipofika October 29 mama yake alipokea taarifa kuwa mwanae amepigwa risasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna Taifa linaloweza kuwa na maendeleo endelevu bila usimamizi mzuri wa haki

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haki lazima itendeke bila uchoyo na upendeleo

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi amzawadia Jeep Lumumba wa AFCON

    Shabiki wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Michel Kuka Mboladinga maarufu Lumumba, amezawadiwa gari aina ya Jeep na Rais wa nchi hiyo, Felix Tshisekedi, kwa kuitangaza nchi hiyo kwenye michuano ya AFCON 2025. Lumumba alikuwa akisimama na kunyanyua mkono juu muda wote wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…