rais wa yanga hersi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Taswira ya Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said

    Kwa kile kinachoelezwa kukwama tena kwenye mchujo wa kuwania ubunge Jimbo la Kongwa kupitia CCM ilivyozua gumzo, zikiwa zimepita siku chache tu baada ya kutoa kauli yake kuwa Yanga ilichangia milioni 100 kwenye harambee ya chama hicho. Jambo lililomuibua Afisa Habari wa klabu hiyo Ally Kamwe...
  2. Waufukweni

    Rais wa Yanga Eng. Hersi: Kama kuna jambo silipendi ni kuifunga Simba

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo naishughulikia ni taasisi inayotaka matokeo, na kwa sababu ya ‘nature’ ya taasisi unalazimika kutafuta matokeo...
  3. DELETED ACCOUNT

    Rais wa Yanga Hersi Said aitelekeza timu yake katikati ya mgogoro mkubwa

    Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa Marekani wanasitisha ziara zao na kurudi kusimamia jambo la dharura hadi litakapokaa sawa. Cha...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said aboresha taarifa zake za Mpiga Kura Kigamboni

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ameungana na Watanzania wengine katika zoezi la kuboresha taarifa za Mpiga Kura kwa mwaka 2025, ambapo leo ameboresha taarifa zake katika shule ya Amani Gomvu, iliyopo Mtaa wa Minondo, Kata ya Somangila, wilayani Kigamboni. Kupitia ukurasa wake wa...
  5. DELETED ACCOUNT

    TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
  6. Papaa Mobimba

    SI KWELI Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said asema hajapendezwa na jezi mpya za klabu hiyo

    Kupitia ukurasa wake wa X amesema "Kiukweli sijapendezwa na hizi jezi mpya za 2024/2025 maana zinafanana na vijora kwa hali hii nawaahidi wananchi hadi kufikia siku ya Mwananchi tutabadili hizi jezi na kitengo cha ubunifu wa jezi kitapewa onyo kali kwa kuidhalilisha brand ya Yanga"
  7. Mturutumbi255

    Je, Mahakama Ina Mamlaka ya Kumwondoa Rais wa Yanga Hersi?

    Katika tukio la kihistoria, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Rais wa Yanga, Injinia Hersi Saidi, kuachia ngazi kutokana na ukiukwaji wa katiba ya klabu. Je, mahakama ina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huu? Mahakama zina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kwamba sheria na taratibu zinafuatwa...
Back
Top Bottom