rais wa rwanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

    Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena. Hii imekaaje wakuu? Kuna ukweli wowote?
  4. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Rais wa Rwanda Paul Kagame, akutana na rais wa DRC, Tshisekedi huko Doha, Qatar

    Ni mkutano ulioitishwa na amim bin Hamad Al Thani kiongozi wa nchi hiyo. Wenyewe wanajua walichokuwa wakikiongelea
  5. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kagame, very smart and powerful president here in East Africa

    Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais. Unamwona anapoongea anapotembea ana akili. Unaona tu ana kitu. Tunapaswa kuzingatia hili tunapoenda chagua...
Back
Top Bottom