rais wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwenye katiba Mpya Rais wa Nchi atokee Yanga.

    Tundu Lissu ni Yanga, Mwalimu Nyerere ni Yanga. Tafadhali sana, katika mabadiliko ya katiba ya nchi, Rais atokee Yanga tu.
  2. JamiiForums Tanzania Civilian Coin: Unapokuwa Rais wa Nchi usiwe takataka, jiheshimu na ulinde usiwe na doa chafu

    Unapokuwa Rais wa Nchi usiwe takataka, jiheshimu na ujilinde usiwe na doa chafu Unapopewa dhamana kubwa ya mwisho katika nchi hutakiwi kufanya Mambo ya kijinga na ya kitoto maana inaweza kushusha heshima Yako, ndio maana mtu akipewa dhamana kubwa kuna baadhi ya vitu hufutwa mitandaoni au baadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria

    Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
  4. JamiiForums Tanzania Angalia mwamba alichomfanyia rais wa Mexico, kijana ajaribu kumpiga busu rais hadharani

    ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ila tukiweka ushabiki pembeni mwanamke hatakiwi kuwa Rais wa nchi

    Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote! Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
  6. JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  8. JamiiForums Tanzania Steven Mguto amewasilisha barua ya kujiuzulu. Kwa upande mwingine Rais wa TFF amemsimamisha kazi CEO Almasi Kasongo

    Taarifa Kutoka Shirikisho la mpira wa miguu TFF imeeleza kuwa mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi yake. Aidha Kwa upande mwingine Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa mtendaji wa Bodi ya ligi TPLB, Almas Kasongo.
  9. JamiiForums Tanzania "Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

    Wanabodi Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini! https://www.jamiiforums.com/threads/padri-muchunguzi-ashangazwa-na-kauli-za-rais-asema-waumini-wetu-ni-wanasiasa-lazima-tuwarekebishe.2335881/post-53667625 Matamshi haya ku mu address Mkuu wa nchi na...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mwenyekiti wa Chama Ndiyo Rais wa Nchi, anakuwa Kikwazo kwa Demokrasia na kukosekana kwa uchaguzi huru na wa haki?

    Katika mfumo wa kisiasa, uhusiano kati ya uongozi wa chama na uongozi wa nchi ni wa umuhimu mkubwa. Hali inapoonekana kwamba mwenyekiti wa chama ndiye pia rais wa nchi, tunakutana na changamoto nyingi za kiutawala na kidemokrasia. Hapa, tutaangazia ni kwanini mfumo huu unavyoweka vikwazo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Emanuel nchimbi likitokea lolote anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.je tumempima anaweza kufaa kuwa rais wa nchi?

    Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

    Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba ningekuwa Rais wa Nchi hii ningefanya mengi lakini haya kwa uchache wake ningewafanyia wananchi ili wafaidi matunda ya Nchi yao.

    Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa. Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii basi ningefanya mengi sana makubwa kwenye hili Taifa mengi sita yesema nitasema machache tu tena...
  15. JamiiForums Tanzania Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe alijua Lissu hana uwezo wa kuwa Rais wa Nchi hii, ndiyo Maana hakuzunguka kumnadi kama alivyomnadi Hayati Lowassa 2015

    Ndugu zangu Watanzania, Mwaka 2020 Lissu kwa kujazwa upepo na wafuasi wake kiduchu na wale waishio nje ya Nchi na kwa kudanganywa na waliokuwa wamempa makazi huko ulaya akajiona kuwa ana uwezo wa kuwa RAIS wa Tanzania na kuchaguliwa kwa kura za kumpa ushindi. Lakini Watu aina ya Mbowe Mwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Mwenyekiti wake Taifa, lazima awe Rais wa Nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
  19. JamiiForums Tanzania Athari ya Mkuu wa Nchi kuonesha upande anaoshabikia waziwazi, ni ligi kuwa ya kichawa

    Unaweza usione au kanona athali ya mkuu wa nchi kujionesha wazi yuko upande wa Yanga. Watu hawasemi wazi lakini ndio ukweli. TFF na vyombo vyake wako kumpa Furaha mkuu. Kila Mtu anataka kuwa Chawa kwa nafasi yake. Leo Derby ya Kariakoo Haina tena mvuto. Kama vile siasa za Tanzania ambavyo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea, leo Septemba 28, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024. https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…