rais wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump hii leo anatarajiwa kutia saini amri itakayobadili jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo kuwa wizara ya vita

    Rais wa Marekani Donald Trump hii leo anatarajiwa kutia saini amri itakayobadili jina la wizara ya ulinzi ya nchi hiyo kuwa wizara ya vita, jina ambalo lilitumika wakati Marekani iliposhinda vita vya kwanza na vya pili vya dunia. ============================= US President Donald Trump plans to...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amegundulika kuwa na tatizo la kiafya "chronic venous insufficiency"

    Rais Donald Trump amegundulika kuwa na tatizo la mzunguko wa damu kwenye miguu, linalojulikana kitaalamu kama chronic venous insufficiency, baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Ikulu ya Marekani. Uchunguzi huo ulifanyika baada ya Trump, mwenye umri wa miaka 79, kugundua uvimbe mdogo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

    Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amefanya Mkutano na Viongozi wa nchi tano za Afrika

    Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika

    Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula...
  7. JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais Samia aache kufungia makanisa

  8. W

    JamiiForums Tanzania Trump adai Siku za Mapumziko ni Nyingi Sana na zinaigharimu pesa nyingi Marekani

    Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Truth Social Rais wa Marekani, Donald Tru,p ameandika Juni 19, 2025 ""Siku nyingi za mapumziko zisizo za kazi nchini Marekani. Zinatugharimu mabilioni kwa sababu biashara nyingi hufungwa. Wafanyakazi nao hawapendi hali hiyo." Trump ametoa kauli katika sikukuu...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tumeona tangazo la Marekani, Tumeanza kufanya Mashauriano

    Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
  10. JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Iran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa. Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotazaa Mkutano wa Rais wa Marekani, Donald Trum na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa

    Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo: 1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump Trump ana historia ya kutumia matukio yenye hisia kali ili kuvutia wafuasi wake wa mrengo wa kulia. Kwa kuonyesha video ya madai ya “mauaji ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

    CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19 Leo hii Rais wa marekani kakutana na gaidi la magaidi lililokuwa linatafutwa tutegemee Trump kulamba...
  13. JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  14. JamiiForums Tanzania Dejavu: Abraham Lincoln, Rais wa Marekani aliyeota kifo chake

    DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu kutabiri au kuhisi matukio yatakayotokea, jambo linalojulikana kama déjà vu au hata ndoto za utabiri...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Elon Musk atakuwa Rais wa 48 USA baada Trump kumaliza muhula wake?

    Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniàni siku za hivi karibuni amekuwa akifanya kazi pamoja na Rais Trump. Ukaribu wao unawatia watu wasiwasi hivyi kwamba baadhi ya wataalamu wanadai Serikali ya america inaongozwa na Elon Musk badala Trump. Hilo halina shaka Elon musk anashauriana na Trump kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa wapendwa wetu kutoka Marekani wanarudi lini?

    Wakuu mtakumbuka mara baada ya marekani kutangaza kurudishwa nyumbani kwa raia wa nchi kadhaa, kumekuwa na mfululizo wa misafara ya wenzetu hawa kuelekea nchi zao. Juzi kati niliona India wakiwapokea watu wao. Hawa wa kwetu mbona hawarudi hadi leo hii au wameambiwa warudi kwa miguu?
  17. JamiiForums Tanzania Huu uhuru anaopewa Bilionea Elon Musk na Rais Trump unatokana na nini? Mbona ni kama vile Musk ndiyo Rais wa Marekani?

    Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaomkubali Donald Trump tukutane hapa

    Trump baba unajua, unajua sana. Hongera zako! Kaza hivyo hivyo mpaka tuseme! Mwenye email ya Trump aiweke kwenye comment, kuna jambo nataka nimwambie. 🥱 Uzi tayari!
  19. JamiiForums Tanzania Canada yakataa kusalimu amri kwa Rais Trump kuhusu ushuru wa 25%

    Rais wa Marekani, Donald Trump, alitangaza kuwa anapanga kuweka ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka China. Trump alieleza kuwa hatua hii inafanywa kama njia ya kulinda mipaka ya Marekani dhidi ya uhamiaji haramu na madawa ya kulevya ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald trump aagiza bendera zote za upinde kushushwa

    Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea. Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za raia wa taifa hilo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…