Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa Super League.
Mapema mwezi huu, baraza linaloongoza dunia liliacha pendekezo la Infantino la...
Agosti 5, 2026, Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeomba radhi kutokana na makosa yaliyofanywa katika mchakato wa pendekezo lililoondolewa la kuuza haki za kibiashara zinazohusiana na Kombe la Dunia. Wakati huohuo, viongozi wa shirikisho hilo wamethibitisha tena kumuunga mkono rais wake...
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ametangaza kufuta rasmi mpango uliokuwa na utata mkubwa wa kuuza hisa za mashindano ya shirikisho hilo kwa wawekezaji binafsi.
Infantino alisema imedhihirika wazi kuwa mradi huo ulikuwa "umesababisha migawanyiko" ambayo "haiko tena katika maslahi" ya lengo lake...
Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje?
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka timu 48 hadi 64. Amesema pendekezo hilo litajadiliwa na...
Akizungumza katika jukwaa la CNBC la Invest in America, Infantino, Aprili 15, 2026, alisema ni muhimu kwa Iran kushiriki michuano hiyo hata kama ushiriki wake umekuwa na mashaka tangu Marekani na Israel zilipoanzisha mashambulizi ya anga nchini humo.
"Timu ya Iran inakuja bila shaka, ndiyo,"...
Rais wa FIFA amewapongeza yanga sc kwa kutwaa vikombe vyote 💛💚💪
Pia amewapongeza mashabiki na wanachama kwa kuiyunga mkono timu yao japo ilianza kwa kusuasua
Asante Raisa wa FIFA 💪💚💛
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi, chini ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino.
Saudi Arabia ilikuwa mgombea pekee aliyewasilisha nia yake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.