rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge aja na kitabu kinachoeleza kazi za rais Samia jimboni kwake

    Mbunge wa jimbo la Same Mashariki Anne Kilango Malecela ameandika na kusambaza kwa wananchi kitabu chenye kurasa 139 Kinachoeleza miradi ambayo imetekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika jimbo hilo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Mtwara wafanya Tambiko maalum kwa ajili ya Rais Samia, wajipanga kulinda Ushindi 2025

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya "AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" Wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ndo Rais ambaye anakutana na upinzani wa kweli tangu mfumo wa vingi uanzishwe Tanzania

    Kiufupi namuonea Sana huruma simuoni akitoboa na kuendelea kuwa Rais . Hoja za Lissu ya kuwa "huruma sio malezi" inaenda kumuharibia nafasi ya yeye kuchaguliwa Kama Rais wa Tanzania.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinazomfanya Rais Samia ashindwe kushusha bei ya umeme?

    Rais Samia kipindi inatangazwa kwamba bwawa la Mwl Nyerere litakapokamilika bei ya umeme itashuka chini wewe ulikuwa makamu wa rais na bila shaka mlikubaliana hivyo kwenye vikao, sasa bwawa la umeme limekamilika na mashine zote zinafanya kazi lakini kuna kila dalili serikali yako ya awamu ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Tatu Nchini Angola na Kuhutubia Bunge la Nchi Hiyo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama wa shoka , chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya Matumaini anatarajiwa kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee wa Nyasa wamshukuru Rais Samia kwa kumteua Dkt. Nchimbi kuwa Mgombea mwenza Uchaguzi mkuu 2025

    Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana UVCCM Bukoba Vijijini Walalamikia Kukwama kwa Kampeni ya SANEVO ya Rais Samia

    Vijana wa umoja wa UVCCM wilaya ya Bukoba Vijijini wamelalamikia kukwama kwa kampeini ya kutafuta kura mpya za Rais Samia inayoitwa Samia New Voters Campagn (SANEVO) iliyopangwa kufanyika wilayani humo mwishoni mwa mwezi machi, mwaka huu 2025. Wakiongea na Vyombo vya habari mara baada ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

    05 Aprili 2025 Judiciary Square Dodoma, Tanzania Tazama mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia Tukio hili limetokea leo Aprili 5, 2025, Dodoma, wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizundua majengo ya mahakama ya Tanzania. Inawezekana ikawa ni uchovu kutokana na aina...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi

    Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Reforms wanazozitaka Chadema ni ngumu kiasi gani mpaka zisifanyiwe kazi? Mbona Reforms ni sehemu ya "4R" za Rais Samia lakini CCM wanapinga?

    Hili ni swali ambalo najiuliza. Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani? Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia

    Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba umtumbue Mkuu wa mkoa wa Tabora hatoshi pale

    Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi? Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga...
  13. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila kwenye mahojiano na Wasafi TV amedai kuwa matumizi mabaya ya fedha za umma yamepungua kipindi cha Rais Samia, ukilinganisha na ripoti za CAG za miaka ya nyuma . Soma, Pia: David Kafulila: Wakati wa Rais...
  14. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Wakati wa Rais Samia hati safi zimefikia 99% kutoka 89%

    == Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kupata ripoti nzuri ya CAG kwa jumla, Bwana David Kafulila anasema Rais Samia na katika Kipindi chake...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wangu SAMIA: Utashinda, lakini likemee jambo hili na kuwachukulia hatua kali wahusika

    Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe. Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Utakumbuka kuwa mwaka ijana uliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze matukio ya watu...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Yusuf Makamba awaomba Watanzania wamuombee Rais Samia ushindi na Afya Njema

    Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuf Makamba, amewataka Watanzania kumuombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ushindi, afya njema umri mrefu kutokana na kujitoa kwake kwa dhati kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika dua maalum iliyofanyika nyumbani...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa "Umoja Wa Wanaume Tanzania" utakaofanyika Dodoma

    Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma. Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili...
  18. JamiiForums Tanzania Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid El Fitri Mbeya kwa watoto wenye uhitaji maalum

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mkono wa Eid El Fitri kwa watoto wenye uhitaji maalum kwenye makao ya watoto 23 mkoani humo, Bidhaa mbalimbali zimetolewa ikiwemo mchele, unga, mbuzi, mafuta ya kupikia na vinywaji...
  20. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: CAG amempongeza Rais Samia

    Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema "Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ile Ibara ya 143, Ibara ndogo ya 4 ya Katiba ya kupokea taarifa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…