rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Singida Wamlilia Rais Samia Kuhusu Kesi ya Mwenyekiti wao"

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Singida, wameangua kilio kwa kumwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atoe tamko la kuachiwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho ambaye anadaiwa kukabiliwa na kesi ya uhani...
  2. S

    Wakulima wa Tumbaku Tabora wasema Bashe hafai kuwa Waziri anamharibia Rais Samia

    WAKULIMA wa Tumbaku Tabora wamepaza sauti zao kwa Rais Samia kumuondoa kwenye nafasi ya uwaziri wa Kilimo Mheshima Bashe kwani anamharibia sana kwa wananchi kutokana na kushindwa kuisimamia wizara ya Kilimo... Wasikilize kwenye hii link wakulima
  3. M

    Maana ya mnara wa Babeli nchini Tanzania na miaka mitano mingine ya Rais Samia

    Watu wengi mumekuwa mkihusisha maana halisi ya maana ya mnara wa Babeli kama jinsi neno la Mungu linajieleza lenyewe lakini ikitazamia katika upande wa kiroho ukagusia sehemu ndogo tu ya siasa na amani katika nchi hii ya Tanzania utaona kuna ujenzi wa mnara wa Babeli japo si wote ambao...
  4. J

    PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia ametuhakikishia Tanzania ni salama

    •Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
  5. Diaspora Ubelgiji wampongeza Rais Samia kwa miradi ya maendeleo na kudumisha amani

    Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kulinda amani na mshikamano wa kitaifa. Pongezi hizo...
  6. W

    PreGE2025 Evance Kamenge: Rais Samia anaweza kugombea na mtu yeyote bila ya usaidizi wa chombo chochote na akashinda uchaguzi

    Vijana wanaotafutaga teuzi bhana huwa wana miyeyusho sana Tlaatlaah njoo umchukue kaka ako === Mchambuzi wa Siasa na Uchumi Evance Kamenge akifanya mahojiano na kituo cha Star Tv kwenye kipindi cha medani za siaza kinachoongozwa na Edwin Odemba, ameeleza kuwa Rais samia kwa mambo aliyoyafanya...
  7. PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  8. PreGE2025 Bashe: Rais Samia kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania Aprili 28, Ikianza na mtaji bil. 55, matawi manne

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Rais Samia anatarajiwa kuzindua rasmi Benki ya Ushirika Tanzania tarehe 28 Aprili 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  9. Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji litakalofanyika mkoani Simiyu

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la wafugaji nchini litakalofanyika kitaifa mkoani Simiyu mwezi ujao. Mwenyekiti wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Mrida Mshota, alisema kongamano hilo, litafanyika kuanzia Mei 15 hadi 18, mwaka huu katika...
  10. P

    PreGE2025 Rais Samia azidi kutrend kimataifa kutokana na suala la Lissu, afananishwa na kina Museveni na Kagame

    Salaam, Rais Samia anazidi kutrend kimataifa, suala la Lissu limezidi kutrend na kumuweka kwenye spot Rais Samia. Sasa anaanza kufafanishwa na kina Museveni na Kagame. Kwenye hiyo video wanakwambia alisifiwa kweli alipoenda kumtembelea Lissu lakini kinachotokea sasa ni kama mtu mwingine kabisa...
  11. Rais Samia toa maagizo kwa NIDA wawapigie watu simu wawaletee vitambulisho kwenye halimashauri walizopo!!

    Nasikitishwa na hii tabia ya nida kutaka kufuta vitambulisho ambavyo havijachukuliwa unakuta mtu alijiandikisha Tarime halafu yupo Dar kitambulisho kinachapwa Dar halafu kinapelekwa tarime wakati mhusika yupo dar!! Yaani nichukue laki2 kufatilia kitambulisho kweli kichekesho!! Hivi nida ni...
  12. W

    PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  13. W

    PreGE2025 Ndumbaro: Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote mmelipiwa na Rais Samia

  14. PreGE2025 Wasomi Vyuo Vikuu waapa kumchagua Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

    Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa kwa umoja wao, hawatapigia kura chama au vyama visivyo na malengo mahsusi au dira ya kuiongoza na...
  15. PreGE2025 Diwani Mariam Makasi: Kazi ya Rais Samia yaturahisishia kazi ya kuomba Kura Uchaguzi Mkuu

    Diwani viti maalumu Kutoka Wilaya ya Mpwapwa Mariam Makasi Amesema Kuelekea uchaguzi Mkuu Kwa aliofanya Rais Samia katika Nchi imetengeneza njia nzuri ya kuwafanya wao kutohangaika kutafuta kura Kwa wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  16. K

    Rais Samia kama anataka heshima yake irudi ni lazima yule Samia wa 2021-2022 ambaye aliweka mbele nchi kuliko ubinafsi

    Raisi Samia mwaka 2021-2022 alikuwa na nguvu na aliteka Tanzania alikuwa ana alikwa kwenye mataifa makubwa sana lakini kuanzia 2023 Raisi Samia amekuwa dhaifu na kuonekana ni Raisi wa kuendeshwa na vigogo wa CCM na amekuwa kama vile ni Raisi wa Chama na sio Raisi wa nchi. Tukubali na tukatae huo...
  17. PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  18. Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  19. Viongozi Wastaafu, Mfateni Rais Samia na Msaidieni Kuituliza Nchi. Mambo Yamekuwa mambo huko ulimwenguni

    Katika kipindi hiki nyeti cha historia ya taifa letu, ni jambo la busara na uzalendo kwa viongozi wetu wastaafu—kama Jaji Joseph Warioba, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, na wengine waliolitumikia taifa kwa hekima na busara—kujitokeza na kumsihi Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua hatua za...
  20. PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

    Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…