rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Majaliwa: Rais Samia ana nia thabiti kwa Watanzania

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Nachingwea adodosha mistari ya Hip Hop mbele ya Rais Samia, Samia naye aitikia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Liwaka ameonesha umahiri wake kwa kuchana mistari ya Hip Hop mbele ya Mgombea urais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye kampeni Ruangwa mkoani Lindi.
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wamasai Ngorongoro tuna imani kwa CCM na Rais Samia, tunatarajia Suluhisho la Changamoto za Malisho

    Hivi ni kweli kabisa watu wa Ngorongoro wamesahau mateso walikutana nayo, mh napata mashaka inawezekana hawa wananchi wamepata kulambishwa asali. Lakini si sehemu ambayo CCM inanguvu kiasi cha kupata kura uchaguzi huu ================= Jamii za kifugaji za Kimasai wilayani Ngorongoro...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atembelea Kaburi la Hayati Rais William Benjamin Mkapa

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Lupaso, Masasi mkoani Mtwara tarehe 24 Septemba, 2025
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete: Samia ameweka elimu bure mpaka kidato cha sita nani kama Samia?

    “Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia na Watu wake , hawana Mamlaka Tena ya kuliponya Taifa dhidi ya haya yanayoendelea Nchini !!

    Hawezi Kaa Mezani na Upinzani zaidi ya vibaraka wake wa ACT na CHAUMA. Hawezi Kukaa na TEC Hawezi Kukaa na Viongozi wa Dini wa Kikristo Hawezi Kukaa na Jumuiya za Kimataifa Hawezi Kukaa na Taasisi za Haki za Binadamu Ndani ya Nchi Hawezi Kukaa na Wananchi, Tena Hawa ndo kabisa wamemnyima...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania

    "Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania." Amesema Dkt. Samia wakati wa Mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 23, 2025 Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Rais Samia akisisitiza kupewa kazi ili akasimamie utu wa Mtanzania, amebainisha kuwa ataendelea kusimamia suala la mitaji, masoko...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Nyasa: Tunamkubali Rais Samia kwa Makubwa aliyotufanyia, Oktoba Tunatiki

    Wakazi wa Mbamba Bay Wilaya ya Nyasa wameeleza namna ambavyo Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweza kusimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa wananchi katika kipindi cha uongozi wake ikiwemo uduma za kijamii kama Maji, umeme pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi

    "alifungua milango ya siasa huru hata wale ndugu zetu waliokimbia kwenda nje ya nchi walirudi alikaa mezani na vyama vya siasa alihakikisha shughuli za kisiasa zinaendelea kwa sababu anatambua umuhimu wa shughuli za kisiasa tukizingatia nchi yetu ni nchi ya kidemokrasia" ameongeza Paresso Hayo...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia anataka kuweka historia ya kuwa rais aliyeshinda kwa asilimia kubwa (95% +) zaidi kuliko awamu zote zilizopita

    Ukiangalia kwa makini ,wagombea wa nafasi za urais ambao angalau angalau wanasikika tena kwa mbali sana ni Luhaga Mpina na Salum Mwalimu. Mpina amepigwa pini kugombea, na mwanachama mwenzake pia (Zito) amemnadi Samia apewe nafasi ya urais. Tukija kwa Salum Mwalimu yeye anagombea ili mradi ku...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amefanyika Baraka kwa Watanzania na kugusa maisha ya watu na ndio maana watu wanafurika na kumiminika Kwenye mikutano yake

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu Wa Nchi Au waweza kusema Rais ana nafasi kubwa sana katika ukuaji wa uchumi wa Nchi na ustawi wa watu wake. Rais anayo nafasi ya kuwafanya watu kuwa na amani ,furaha na tabasamu ama kuwafanya watu kuishi kwa hofu ,vinyongo ,hasira na hata chuki kwa serikali yao na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwaiyo Waziri Jenista Mhagama na kundi lake walipiga Magoti hadi Rais Samia alipomaliza kuhutubia? kweli Tonge tamu

    Nikiwa mwanafunzi Shule ya Msingi adhabu kubwa tuliyokuwa tukipewa kama wapiga kelele ilikuwa kupiga magoti kwenye kokoto alafu ni kwenye jua, nilidhani ni kwa sababu sisi ni watoto ndo maana tunapewa adhabu hiyo ila leo katika umri huu wa utu uzima naona ndugu zake Lucas Mwashambwa wanasujudu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Haya ni mapenzi kwa CCM au kujidhalilisha?

    Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika uwanja wa Veta Songea Mkoani Ruvuma Kwaajili ya kuzungumza na wakazi wa eneo hilo ikiwa ni muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kundo: Rais Samia ni kiongozi mwenye dhamira ya kweli, amebeba matamanio ya Watanzania, kwa miaka mitano ameongea kwa vitendo

    Septemba 21, 2025 Mamia ya wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na makada wa chama hicho wakiongozwa na mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi mjini, Kundo Andrew Methew wamefanya maandamano ya amani kwa lengo la kuhamasisha wananchi kumchagua rais Samia Suluhu hassan kutokana na utekelezaji wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda Mbinga: Tunadaiwa na Rais Samia

    Kwani hivi vikundi huwa vinalipwa kuja kumsifia Samia au ni kwa matakwa yao binafsi wamependezwa n utendaji kazi wake maana utasikia bodaboda wanamkubali mama, Mama ntilie wanamkubali mama mara Fundi ujenzi nao wanamkubali mama Kwa hali hii naona ni watu wa Daslam ndo wanawaza kuandamana ila...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 “Mimi ndiye Rais” “Mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu”. Maneno haya wanayatumia vibaya kuanzia Jakaya, Magufuli na sasa Samia

    Hii kauli ya “Mimi ndiye Rais” ni Kama vile inatumika kutisha wanaohoji kuhusu haki zao Mwaka 2015 September wakati wa kuelekea uchaguzi Kikwete aliwatisha Wananchi kwamba “Mimi ndiye Rais sitaki mtu kuandamana, na mtakiona cha mtema kuni.” Ina maana ni kuwatisha Wananchi wasitimize haki yao ya...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, nachokozwa sana ila sichokozeki

    Kumbe mama anachokozwa sana, naye achokozeki! Ni likuwa silijuwi hilo ==================== “Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, bibi yenu, dada yenu; nikichokozwa msichokozeki. Niwaombe sana mtunze amani na utulivu. Tumejipanga vyema, kwa hiyo hakutakuwa na pepe wala...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma agalagala barabarani kuziomba kura za Rais Samia

    Vituko na vibwanga vya wanasiasa vinazidi kuendelea. Huyu mbunge wa viti maalum akiwa na wanachama wengine wameonyesha ushamba na uchawa wa pro max katika kuomba kura. Nipo pale mbele naendelea kushuhudia vituko vya karne =============== Katika kipindi hiki cha kampeni za Urais, Ubunge na...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele

    "Tunafanya kazi ili kuinua Taifa na utu wa mtu na ndio maana tunasema Kazi na Utu, tunasonga mbele, sasa hii ni kwa Taifa hata mtu mmoja mmoja, ukifanya kazi ipasavyo unainua utu wako mwenyewe kwasababu kazi itakulipa ujira na ujira utatumia kufanya maendeleo yako binafsi, lakini ukifunga mikono...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wenzetu wanayolalamikia hakuna lisilozungumzika, mengi tumekaa, tumeyafanyia kazi, tusilete vurugu

    Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika sanduku tena bila uonevu. ======================= “Wenzetu wanayolalamikia hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…