rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  2. K

    Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye. Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
  3. Asante Rais Samia: Serikali imeanza kuukumbuka Mkoa wa Mbeya

    Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano. Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa...
  4. J

    Rais Samia awaongoza Watanzania kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi, hayati Elias John Kwandikwa

    Tukio liko mubashara TBC. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. RIP Kwandikwa ====== Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza shughuli ya Kuaga mwili wa Waziri wa Ulinzi na JKT, John Kwandikwa, leo tarehe 6 Agosti, 2021 Kinachoendelea kwasasa ni katibu mkuu kusoma wasifu wa...
  5. Watumishi 6 waliofukuzwa kazi Halmashauri ya Siha wamwangukia Rais Samia, waomba iundwe tume huru

    Watumishi 6 waliofukuzwa kazi katika halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia suala lao na kisha kuunda tume huru kuchunguzwa namna walivyofutwa kazi kwa madai kwamba kuna uonevu mkubwa ulifanyika. Mbali na kufutwa kazi pia wameiangukia tume huru ya...
  6. Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  7. Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  8. Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  9. Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  10. Salama kwa Rais Samia: Baada ya ma-DED sasa nguvu ihamie kwenye Mipango ya Halmashauri na Wizara

    Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161). Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC. Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
  11. K

    Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
  12. Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

    Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti UPDATE: July 31, 2021 Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first visit state to Rwanda. During the two-day visit, she is expected to hold private talks with...
  13. Rais Samia anatakiwa kuwa makini afanyapo teuzi

    Bado nashindwa kuelewa ni either hajauzoea urais au ni kwamba hayupo tu makini. Moja ya vitu ambavyo ni maajabu sani ni pale unapoona taarifa ya uteuzi kutoka Ikulu ikiwa na makosa kila Mara. Taarifa yoyote inayotoka Ikulu inapaswa kuhakikiwa sana kabla ya kwenda kwenye public. Au niseme ni...
  14. S

    Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

    Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
  15. M

    Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

    Anaandika Askofu Bagonza Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia. Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize: 1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
  16. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  17. C

    Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

    Habari wanaJF, Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya. Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?! Ngoja niwaoneshe, Chini yako Mh. Rais Samia umeruhusu mambo haya: 1. Umeongeza gharama za kutuma na kupokea hela katika...
  18. James Ole Millya awashukia wapinzani kuhusu Katiba Mpya, ataka Rais Samia asibughuziwe

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais aliyeko madarakani kuweza kutekeleza majukumu yake hasa kipindi hiki Taifa lipo kwenye changamoto ya janga...
  19. J

    Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

    Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo. Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…