rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  2. J

    Rais Samia: Mwaka ujao wa fedha tumetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya Kustabilize Umeme ili kukatikakatika Umeme iwe historia

    Rais Samia amesema kufuatia tatizo la kukatika katika Umeme kuanzia kwenye ujenzi wa Bwawa la Nyerere na maeneo mengine ya uwekezaji serikali imetenga fedha nyingi kwa ajili ya kujenga vituo vya ku-stabilize umeme kila eneo nchini. Rais Samia ameomba bunge likasimamie jambo hilo. Source: ITV
  3. Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  4. Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  5. UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  6. Waziri Bashungwa aagiza ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya 233 kabla ya Aprili 2022

    Twende kwenye mada. Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote aliyemtangulia. Afya ikiwa ni moja ya kipaumbele chake, Serikali inajenga jumla ya vituo vya afya vipya zaidi ya...
  7. 2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

    Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni. Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye sanduku la kura, kwenye uchaguzi ulio huru na haki kwa sababu zifatazo. - Samia hana strongholds hata...
  8. B

    Nuru ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani yaelezwa Mwanza

    Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja. Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu...
  9. Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  10. B

    Wanavyuo Mwanza watoa kongole kwa Rais Samia

    WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka...
  11. Rais Samia sijakuelewa hapa unapotaka Kushauri na Kuamrisha kuwa Jina la Wafungwa libadilishwe na sasa wawe wanaitwa Wanafunzi

    Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi? Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
  12. Media za Tanzania asante kwa kumsifu kupitiliza Rais Samia. Sasa mtupe uchambuzi wa Vita ya Ukraine na Urusi kiuchumi kwa Tanzania

    Nimejaribu kuangalia Media za nchini Rwanda, Kenya na Uganda hasa katika Coverages zao juu ya Vita baina ya Ukraine na Urusi na kugundua ya kwa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda wameshaelimishwa na Kuchambuliwa vya kutosha juu ya Vita hiyo tofauti na Tanzania na Watanzania. Kila nikijitahidi...
  13. Rais samia, Magereza wanaovutana kwenye miradi kushirikiana na sekta binafsi ni kutaka kulea upigaji

    Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni' Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
  14. Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  15. Dodoma: Rais Samia azindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya...
  16. Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
  17. M

    Tukiweza kubadili hivi vitu kwenye katiba yetu inatosha, Rais Samia anaweza

    Kwa kuzingatia usalama wa nchi yetu na usalama wa kuendesha nchi nashauri kama Mama ataridhia mabadiliko ya katiba mambo haya yanafaa kuongezwa tu kwenye katiba iliyo na machache kuondolewa. Kipengele cha Rais akifa akiwa madarakani tubadilishe ISEME RAIS AKIFA MADARAKA MAKAMU WAKE ASHIKILIE...
  18. Rais Samia azindua daraja la Selander (Tanzanite), ataka liwekewe nembo ya Tanzanite sio Mwenge

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Agakhan - Upanga jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua daraja la Selander (Tanzanite) na barabara unganishi leo tarehe 24 Machi 2022. === Rais...
  19. Rais Samia tembelea Ujenzi wa Nyerere Hydroelectric Dam

    Mh Rais wa JMT. Jana wakati ukizindua na kukabidhi nyumba kwa wakazi wa Magomeni Quarters. Ulikaririwa ukisema kwamba,watu huko mitaani wanaongea kwamba miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na JPM huenda haitakamilishwa. Lakini ukautumia mradi ule wa Magomeni Quarters kama uthibitisho wa...
  20. Rais Samia awashangaa wanaosema miradi ya Magufuli haitoendelezwa, adai uwezo wao wa kufikiri ni mdogo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawakuwa sahihi kwa sababu Serikali inayoongoza nchi ni ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Rais Samia ameeleza hayo leo Jumatano Machi 23, 2022 wakati akizindua nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…