rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mabaraza ya watu wenye heshima wanalitambua jina la Rais Samia

    Waswahili wana msemo Tabia hushawishi kwenye kundi mkitembea wacha Mungu na wewe utakuwa mwenye kumcha Allah, mkitembea Wezi pamoja na wewe utakuwa miongoni mwa wezi, Ukitembea na viongozi bora na wewe utakuwa miongoni mwa viongozi bora. Msemo huu unaumba kwa muktadha huu. 1. Rais Samia...
  2. Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  3. Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

    Salaam Wakuu, Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman. Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema...
  4. Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, leo Juni 13, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha. Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais...
  5. RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

    RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI Na David KAFULILA Jumapili, Juni 12 , 2022 Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
  6. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa...
  7. M

    Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  8. The Oman Connection: Kikwete in 2012 and Samia in 2022

    Salaam wakuu, Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo. Kuna hizi picha mbili za Kisiasa. Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3. Pia soma: 1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA 2...
  9. Suala la COVID-19, Rais Samia anaigiza?

    Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo. Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe. Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu...
  10. Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
  11. Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  12. Rais Samia akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022
  13. Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
  14. Kwa Kauli Hii, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote! Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kuwa Rais yeyote ukimuondoa Nyerere

    Wanabodi, Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema. Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote!. Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kufanywa na Rais yeyote...
  15. Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

    Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022 Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
  16. Rais Mstaafu Kikwete acha 'Kuzunguka' mwambie tu Rais Samia kuwa 'Uchifu' si mzuri kwa sasa Tanzania

    Usiogope kwani kwa jinsi Mama anavyokukubali tokea ulipomtoa Zanzibar kwa Karume, ukampa Ulaji katika Bunge la Katiba na mwishoni ukamuombea 'Ulaji' kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ukimwambia kuwa hujapendezzwa na Kitendo chake cha Kuruhusu 'Uchifu' kurejea Tanzania wala hatomtosa Unaibu Uwaziri...
  17. Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya. Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
  18. 5

    Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
  19. Kagera: Rais Samia atembelea Kiwanda cha Sukari Kagera, azindua mradi wa maji Kyaka - Bunazi, Missenyi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022 RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani Ni kweli Jeshi la Magereza linamiliki ardhi eneo...
  20. H

    Haya ni Matunda ya filamu ya Royal Tour ndani ya Miezi miwili pekee tu, kwa hili Mama aliupiga mwingi

    "Ni Matunda ya filamu ya royal tour ndani ya Miezi miwili pekee tu! Watalii wafurika Tanzania". Ikiwa ni baada ya Miezi miwili tu tangu filamu maalumu ya royal tour iliyomuhusisha rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kutambulishwa rasimi nchini marekani na baadae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…