rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa miradi mahsusi ya umeme. Vijiji vyote Bara kufikiwa umeme mwishoni mwa 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza Mikataba 14 ya Wakala wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ondoa hiki kikokotoo kinawaumiza wastaafu

    Mheshimiwa Rais. Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu. Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi. Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania 1. Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo kuliko nchi zote Afrika Mashariki 2. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara 3. Deni la Taifa ni himilivu
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, tuondolee huyu RC Amos Makalla mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla, amesema wahalifu wanaodaiwa kuwa Panyarodi waliovamia maeneo ya Bunju sio wakazi wa mkoa huo, kwani kazi ya kuwashughulikia wahalifu hao ilishaimaliza. Wahalifu hao wakiwa kundi la watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya wanane, walifika kwenye mtaa makazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Rais Samia hakuna kilichosimama

    UVCCM Taifa 13 February, 2023 Miaka miwili ya Mama hakuna kilichosimama Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, sehemu ya 5 Isaka - Mwanza (KM 341) unaotekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kutoka China zikiendelea. Ujenzi umefikia asilimia 22.67%...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia imekiheshimisha kilimo na wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya ziungane na kumchangua mama Samia kuwa Rais wa shirikisho, Ni Rais ambaye amekuwa wa kuigwa na viongozi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Tukio liko mubashara TBC Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo Mungu ni Mwema wakati Wote
  8. JamiiForums Tanzania Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba ziara ya kikazi mkoa wa Dar es Salaam hasa hasa wilayani Ubungo

    Wana Dar es Salaam tuna changamoto nyingi sana. Lakini ya barabara imekithiri sana. Tunaomba ziara Dar es Salaam tukueleze shida zetu. Dar es Salaam ina barabara zinachongwa kwa mwaka zaidi ya mara tatu kwa gharama kubwa, lakini barabara ikishachongwa inakaa kwa siku tatu hadi tano tu baada ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lissu anasema Rais Samia amebadilisha upepo wa kisiasa

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema baadhi ya mambo yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani 1. Amefanikiwa kubadili upepo wa kisiasa. 2. Anazungumza na wapinzani. 3. Anazungumza na sisi chadema kuhusiana na masuala yote yanayoitatiza nchi yetu. 4...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO). Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Barabara Kuu na Usafirishaji, Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited...
  13. JamiiForums Tanzania 'Balozi' ataka Rais Samia atengenezewe sanamu

    Muktasari: Balozi wa utalii ataka Rais Samia atengenezewe sanamu kama kumbukumbu ya kuwa Rais mwanamke wa kwanza na aliyejitoa kwa dhati kuipambania sekta hiyo kwa kushiriki kutangaza utalii wa nchi. Dar es Salaam. Wakati sekta ya utalii ikiendelea kuimarika na kuvutia idadi kubwa ya watalii...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi ni taifa huru

    Nakumbuka siku ya uhuru Rais Samia Suluhu alituhakikishia watanzania kwamba sisi ni taifa huru na watanzania lazima tuwe huru tunaona anaendelea kuishi maneno yake kwa kuweka uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa wananchi kutoa maoni. Hakuishia hapo tu alisema pia jukumu la serikali ni kusimamia...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

    Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake. Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana imani na Rais Samia

    Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais Samia Suluhu anatakiwa kutembea kifua mbele huku ajisifu maana amefanikiwa kujenga Tanzania mpya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  19. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Umetubadilishia Mkurugenzi wa EWURA, tubadilishie na wa TPDC na PURA

    Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi. Wakurugenzi wanakaa kwa muda mrefu sana, hapo inaweza kuwa ngumu kuona mabadiliko. Zoezi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…