rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa mnanyanyasa watoto kwa kuwamezesha uchawa na propaganda zenu. Watetezi wa haki za watoto mko wapi?

    Wakuu, Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza. Mbali na kuwaweka watoto kwenye chipukizi sasa watoto wanaaza kukaririshwa uchachawa na kupenyeza ajenda za wanasiasa, hii siyo sawa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kufurahia maigizo ya mipasho na vichambo unavyotoa kwa wananchi inaelezea ni kwa jinsi gani hufai kuwa Rais

    Wakuu, Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa usionekane hata ukucha. Yaani wanafanya maigizo ambayo yanakukandamiza wewe na kuzidi kuonesha picha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia vitu usivyo elewa...
  6. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia hatimaye Wavuvi wa Pwani umeanza kuwakumbuka

    Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari" Leo hii umewatambua na kuwakumbuka kwa kuwapa boti 30+ Ombi langu ni moja tu...wapelekee meli za uvuvi wajiajiri kwenye kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga Februari 26, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga Februari 26, 2025 "Mmenipa heshima kubwa sana kuja kuweka jiwe la Msingi katika Msikiti huu wenye historia kubwa na ya muda mrefu hapa Tanga na Afrika Mashariki kwa ujumla" "Niwashukuru sana kwa maneno mazuri...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aweso: Rais Samia umetutoa pangoni watu wa Pangani

    Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI "Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni tunakwenda kupaa angani" -Juma Aweso Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee na viongozi wa Pangani wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 5, Nazi na zawadi nyingine

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiwasilisha zawadi mbalimbali kutoka kwa Wazee na viongozi wa Pangani walizotoa kwa Rais Samia ikiwa ni pamoja na Ng'ombe 5, Nazi na zawadi zingine tofauti. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
  12. JamiiForums Tanzania Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde "Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanga: Rais Samia azindua Boti za Kisasa za Uvuvi na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Miradi mikubwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Boti za Kisasa za Uvuvi 35 na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo, leo tarehe 25 Februari, 2025. https://www.youtube.com/watch?v=LyTqilc4KnA Rais Samia Suluhu Hassan azindua...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza migogoro ya ardhi wilaya Kilindi utatuliwe haraka

    Rais Samia ameagiza waziri ya ardhi na tume yake ya clinic ya ardhi wapige kambi kilindi wahakikishe migogoro yote ya ardhi itatuliwe. Wilaya ya kilindi ndyo inayongoza kuwa na migogoro ya ardhi tanzania.kuna migogora ya ardhi 267.wasababhshi wakuu ni viongozi.Kwa hili tunamshukuru rais samia
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azindua jengo la Halmashauri ya Handeni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Februari 25, 2025 ,amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni huku akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma kote nchini. Rais Samia amewataka watumishi wa halmashauri kuzingatia majukumu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli

    Wakuu Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli. == Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkazi wa Korogwe atua mkutanoni na 'Kapu la Kura' kwa Rais Samia

    Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kuhutubia akiwa na kapu litakalojaa kura zake! Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi amuombea kura za Urais Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu. CCM mmeanza kampeni?

    Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu wa 2025. Akiwa katika ziara yake, Katambi alikutana na Wajumbe wa CCM wa Kata ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis Mwamunyange. Najua habari hii haijamlaza vizuri mwamba Luteni General Abdulrhman Shimbo. What we...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…