rais ajaye

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa kupendwa huku hakika, Bobi Wine rais ajaye wa Uganda

    Huyu kijana Bobi Wine anamnyima Museveni usingizi. Sasa hivi ni wakati wa kampeni Uganda kuelekea uchaguzi. Lakini nguvu nyingi inatumiwa na mseveni kutumia vyombo vya dola kutawanya wafuasi wa bobi wine kwenye mikutano ya hadhara. adriz de mbusii
  2. Kama ni Samia, Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

    Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea. Lissu ndiye Rais ajaye Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo. Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani...
  3. Kwa vile Magufuli hakuishi kumaliza ngwe yake inayomaliziwa na mzenj rais ajaye atoke bara

    Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
  4. PreGE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

    Nina hoja Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
  5. PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50. Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
  6. F

    Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

    Wakuu salamu kwenu. Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
  7. Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  8. J

    Mikutano ya Wapinzani huwa inamsaidia zaidi Rais aliyeko madarakani kuliko kumdhoofisha, inampunguzia kudanganywa!

    Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la baadhi ya Changamoto Ruhusuni mtanishukuru baadae
  9. Rais ajaye

    Ndiyo na ni suala la muda tu.
  10. Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  11. Ruto rais ajaye Kenya?

    Umati unayo hudhuria mikutano ya Ruto unatisha.Hapa Nakuru strong hold ya team kieleweke. Tangatanga mnatisha.
  12. Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI) 3. Philipo Mpango: Ingawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…