raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Raia wamekosa imani na magari ya serikali, ikibidi yasiwe tinted

    Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote wakaitolea macho ile gari kuangalia nani anashuka. Na wengine wakawa wanasema ni magari kama hayo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

    Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao. Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili. Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

    Nani mwingine amepata hii SMS ???
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenerali Ulimwengu aonya vikali mauaji ya raia wema wanaopambania nchi yao

    Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
  8. JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

    Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia, Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano. Umakini uwepo.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  12. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  13. JamiiForums Tanzania Tutaandamana kwa amani Askari atakaye mpiga mwananchi sisi tutajitetea

    Tutaandamana kwa amani na kwa muujibu wa katiba ya nchi Askari atakaye mpiga mwananchi kwa sababu ya maandamano ni uhalifu wa kivita na sisi tutajitetea tutamfanya nyama.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali. Je? Raia wa mitandaoni wanaishi wapi?

    Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao? Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
  15. JamiiForums Tanzania Raia huko Gaza waanza kushangilia usitishwaji vita

    Huko Gaza, "raia" wale wa Wanajihadi wa Nazi waliosherehekea mauaji ya tarehe 7 Oktoba sasa wanasherehekea usitishaji vita unaokuja kwa sababu wanaona huu kama ushindi mkubwa. "Njaa" hiyo yote ilitoweka ghafla. Ikiwa hatutafanya kitu kikali baada ya mpango huu, tutalipa hii katika miaka 20...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Serikali imeshindwa kujua anayeteka na kuua raia, maana yake imeshindwa kulinda Raia, iachie watakaoweza

    Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao. Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia 1. Hajui watekaji ni kina nani 2. Huwezi kuzuia utekaji. Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukimya magari yenye alama zinazoendana na JWTZ, je raia wengine waige au ni maalum kwa Makonda tu?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka. Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Awe JW au asiwe JW lakini kazungumza Mambo ambayo raia wanapenda. Tumefikaje hapo?

    Tumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali. Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

    Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?. Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…