rafiki wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SuperHb

    NATAFUTA RAFIKI WA KIKE

    Mimi ni kijana mtanashati,,,Sina mambo mengi,,mpole,muelewa,mcheshi... Nahitaji RAFIKI WA kike umri wowote,,,KARIBU PM...tuyajenge
  2. Myahudi93

    Natafuta rafiki wa kike Umri kuanzia 18

    Napatikana Kakola(Kahama) umri wangu 32. Government Employed
  3. M

    Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

    Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates, Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
  4. T

    Natafuta rafiki wa kike wa mtandaoni

    Mimi NI mwanaume, natafuta rafiki wa kike wa online WA kubadiliahana mawazo, Stori na uzoefu pasipo kuonana wala kukutana.
  5. Tech Max

    Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
  6. Tech Max

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
  7. Nomadiq

    Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

    KWEMA WANAJUKWAA. Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli. Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni miaka 20 hadi 29. Mkazi wa popote nchini, elimu yoyote, kazi yoyote halali. Natanguliza shukrani...
  8. Privatelife

    Habari natafuta rafiki wa kike

    Naitwa John Umri wangu 28 Kabila msukuma Natafuta RAFIKI wakike Ambae Tunaweza kushare mambo Mbali Mbali awe na Umri kuanzia 23/35 Ambae yupo Tayari Aje PM
  9. 2

    Natafuta rafiki wa kike

    Sifa zangu 1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe 2) Culture ya maisha yangu ni Vegan 3) Umri wangu ni 35 4) Ni mweupe, Mtanzania 5) Nimejiajiri Sifa za ninayemtaka 1) Awe mweusi wa asili 2) Awe mrefu na sio mfupi 3) Akiwa na utamaduni wa Vegan au Vegetarian itapendeza 4)...
  10. Mawen

    Nahitaji rafiki wa kike

    Naitaji rafiki wa kike mwenye Elimu yoyote, kuanzia Darasa la Saba Hadi chuo, Mcha Mungu. Miaka 23-33
  11. Nahman

    Nataka rafiki wa kike alieko dodoma

    Kama uko dodoma,ni check inbox
  12. Kimbesa11

    Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  13. H

    Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  14. Mkenye Mkuu

    Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  15. E

    Natafuta rafiki wa kike wa kushauriana naye na kubadilishana mawazo

    Mambo vp marafiki! Hope mko salama. Leo niko hapa kutafuta rafiki mmoja tu wa kike. Mtu ambaye atakuwa tayari kuongea na mimi, kushauriana, kupiga story. Sijawa tayari kuingia kwenye mahusiano kwa sasa kutokana na matukio fulani ya kimahusiano niliyopitia hivi karibuni, so nahitaji zaidi mtu...
  16. Surya

    Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  17. 2

    Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Niko Arusha Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto Rafiki ninayemtaka Awe mweusi Awe mrefu Asiyejichumbua Asizidi miaka 28 Asiwe na mtoto Mawasiliano yangu: brightcreeper87@gmail.com
  18. Hidden Diamond

    Niko Mbeya natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
  19. Eternally to be

    Rafiki wa kike muislamu

    Hellow love connects
  20. Hackboy

    Natafuta rafiki wa kike ambaye haamini Mungu

    Niko Dar, umri wangu 28 years old. Natafuta rafiki wa kike asiyeamini Mungu, na Shetani pia (pure atheist). Nicheki DM.
Back
Top Bottom