rafiki wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar. Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo. Nahitaji mtu ambae kama...
  2. Ahmed Saidi

    Natafuta rafiki wa kike ambae naweza muoa hapo baadae

    Assalamu alaykum Wana jamiiforums Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke. Sifa. 1. Asiwe katika mahusiano 2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada. 3...
  3. I

    Natafuta rafiki mchumba baadaye awe mke kabisa

    Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ni kijana mwenye miaka 30 kwa sasa, pia ni mkristo. Mjasiriamali pia. Natafuta mchumba baadaye awe mke. Umri wake ni miaka 27 mpaka 30. Dini yeyote pia sichagui, elimu kuanzia kidato cha nne, atokee sehemu yeyote Tanzania hii, ila mkazi wa Dar es Salaam atapewa...
  4. F

    Natafuta mchumba aje kuwa mke

    Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua. Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na mume. Awe na umri 28-33, asiwe na mtoto zaidi ya mmoja, awe mkristo, awe anajishughulisha, awe na...
  5. K

    Nahitaji mchumba (mwanamke)

    Habari, Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo; Muislam Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini Awe mfupi wakati(150-170cm) Akiwa mmakonde itapendeza zaidi Pesa isiwe kipaumbele kwake Mpole kidogo 18-25yrs Asiwe na mtoto Muwazi Hajawahi kuolewa Muelewa...
Back
Top Bottom