Kwenye nukta ya somo hapo nafafanua.
Niombe Radhi Sana kwa yeyote niliyemkwaza. Sio aina ya mtu mwenye Roho mbaya, ingawa wakati mwingine naona kama Kuna jambo halijakaa sawa hapo moyo unauma na kuanza kujilaumu na kulaumu wengine.
Nafsi inapoona haki haijatendeka, moyo unauma, unauma sana...