Habari za hasubuhi?
Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe.
Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa, Maisha ni magumu, Wananchi hasa wa hali ya chini wamekosa kabisa msaada, Matajiri wanajimilikisha maeneo, Vitu vimepanda bei na mambo mengi...