Kuna supu ya mawe
Kuna supu ya kenge
Kuna supu ya umbwa! Hii mchuzi wake hunywewa wa moto
Tanga kuna mahali panaitwa mabanda ya papa! Shughuli yake inajulikana wazi
Sasa chukua papa(sio kipapa😋) chukua nguru kisha chukua kamongo weka pamoja! Nguru ataibuka kidedea
Yuko mstari wa mbele sana...
Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa.
Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni.
Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.