raba

The Rába (German: Raab; Hungarian: Rába; Slovene: Raba [ˈɾáːba]) is a river in southeastern Austria and western Hungary and a right tributary of the Danube.

View More On Wikipedia.org
  1. Uvaaji Raba na ushabiki wake... sneakers shopping...

    Huu ulimwengu Una mambo ...wengine tunanunua Raba tukiona Tu Kwa macho na kuvaa...kumbe Raba zina mashabiki kama mpira na zina wachambuzi pia. ..... Nikipata nafasi ntakuwa naweka hapa story na uchambuzi wa Raba na ushabiki wake...na mambo mbalimbali yanayo husu raba...
  2. Soon Diadora na Simba wanahamia kwenye raba. Mpo tayari?

    Mdogo mdogo tunatoa vyombo vya kiulayaulaya. Niliwahi kuwaambia Italy ndiyo Mecca ya fashion na kamwe hawatoi vitu vibovu. Baada ya kuwaonjesha jezi moja tu tena imevaliwa na mchezaji mmoja, nchi nzima imezizima inaongelea huo uzi. Hakukuhitajika sijui video za Amapiano, sijui warembo...
  3. Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa Size kuanzia 32 mpaka 43 Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
  4. Wapenzi wa Jordan shoes: Model ipi unaipenda?

    Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav? Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…