The Rába (German: Raab; Hungarian: Rába; Slovene: Raba [ˈɾáːba]) is a river in southeastern Austria and western Hungary and a right tributary of the Danube.
Huu ulimwengu Una mambo ...wengine tunanunua Raba tukiona Tu Kwa macho na kuvaa...kumbe Raba zina mashabiki kama mpira na zina wachambuzi pia. .....
Nikipata nafasi ntakuwa naweka hapa story na uchambuzi wa Raba na ushabiki wake...na mambo mbalimbali yanayo husu raba...
Mdogo mdogo tunatoa vyombo vya kiulayaulaya. Niliwahi kuwaambia Italy ndiyo Mecca ya fashion na kamwe hawatoi vitu vibovu.
Baada ya kuwaonjesha jezi moja tu tena imevaliwa na mchezaji mmoja, nchi nzima imezizima inaongelea huo uzi. Hakukuhitajika sijui video za Amapiano, sijui warembo...
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k
Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav?
Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.