pyramids

A pyramid (from Ancient Greek πυραμίς (puramís) 'pyramid') is a structure whose visible surfaces are triangular in broad outline and converge toward the top, making the appearance roughly a pyramid in the geometric sense. The base of a pyramid can be of any polygon shape, such as triangular or quadrilateral, and its lines either filled or step.

A pyramid has the majority of its mass closer to the ground with less mass towards the pyramidion at the apex. This is due to the gradual decrease in the cross-sectional area along the vertical axis with increasing elevation. This offers a weight distribution that allowed early civilizations to create monumental structures.Civilizations in many parts of the world have built pyramids. The largest pyramid by volume is the Mesoamerican Great Pyramid of Cholula, in the Mexican state of Puebla. For millennia, the largest structures on Earth were pyramids—first the Red Pyramid in the Dashur Necropolis and then the Great Pyramid of Khufu, both in Egypt—the latter is the only extant example of the Seven Wonders of the Ancient World.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    Ukitaka kumng'oa Fiston Mayele Pyramids lazima uwe na kitita cha shilingi za kitanzania Bilioni 8

    Pyramids ya Misri imeweka bei ya Doła 3 milioni (Sh8 bilioni) kwa timu inayomhitaji mshambuliaji Fiston Mayele katika kipindi cha dirisha hili la usajili. Mayele aliyeongoza kwa kufumania nyavu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita akipachika mabao sita, anawindwa na klabu kadhaa za...
  2. Chibike

    Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  3. MwananchiOG

    Nilipotazama kwa mara ya kwanza uchezaji wa Pyramids hatua ya makundi, Nilitambua watakuwa mabingwa CAFCL

    Japo si kwa 100% of course doubts kidogo zilikuwepo kutokana na uwepo wa giants kama Al Ahly na Mamelodi, Lakini nilipotazama mchezo wa pyramids dhidi ya esperansa nilisema kwakweli isingekuwa fair kwa football kama hawa Pyramids hawatakuwa mabingwa wa CAFCL, Nilipata uhakika zaidi baada ya...
  4. Waufukweni

    FT | Mamelodi 1-1 Pyramids | Fainali ya CCL - 1st Leg | Loftus Versfeld | 24.05.2025

    Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld. Kaa nami hapa kwa matukio ya kusisimua kuhusu mechi hii kali Tayari Kombe lipo uwanjani Vikosi vya timu zote Mechi imeanza...
  5. SankaraBoukaka

    Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
  6. blogger

    Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

    Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted. Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
  7. BlackPanther

    Kila la heri kwenu Al ahly na Pyramids

    .
  8. kiwatengu

    FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

    MATCH-DAY 🏆 #TotalEnergiesCAFCL SF 1st Leg Orlando 🆚 Pyramidsfc 🗓️ 19 April 2025 ⏰ 7pm EAT 🏟️ FNB Stadium Kitaumana leo... Wachezaji Orlando Pirates Kikosi cha Pyramids SC
  9. P h a r a o h

    Je Pyramids zilikua na kazi gani ?

    the great pyramid of Giza tutumie great pyramid ( Piramidi kuu ) hii pyramidi imejengwa zaidi ya miaka 4700 iliyopita lakini inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu, maana kila unapojaribu kupata jibu unakutana na maswali zaidi kuhusiana na jibu lako, inavyoaminika hadi sasa ni kwamba...
  10. Dalton elijah

    Pyramids wanaendelea kuongoza ligi kuu Misri mbele ya Al Ahly

    Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi. Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly. Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua ubingwa msimu huu msishangae jamaa wanapiga Mpira Sana.
  11. Mtu Asiyejulikana

    Hapa nachanganyikiwa. Walikuwa weusi, weupe au Aliens waliojenga hizi Pyramids?

    Tumekuwa tukisema walijenga waafrika weusi zile pyramids. Na tunasema zamani waafrika walikuwa wana akili sana (wazungu wakaiba akili bila shaka) tukabaki mabumunda tu. Au sivyo? Sawa weusi ndo walijenga na kutawala Egypt na Waafrika ndo walikuwa na ustaarabu mkubwa miaka hiyo. Swali. Baada...
  12. KENZY

    Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

    Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea. Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado hazijategua kitendawili!, vilevile uwepo wake hapa Africa na nikiambiwa kuwa waafrika ndio waasisi wa...
  13. kavulata

    Azam walijivunja, APR ni aibu kwa Pyramids ingekuwa fedheha

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
  14. BabuKijiko

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | 18.08.2024

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0 - 5 Mohanad Lasheen 88' 0 - 6 Zalaka M.
Back
Top Bottom