profesa shivji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Profesa Shivji: Taifa halijaponywa, miezi 10 hakuna aliyewajibishwa kwa kosa la kijinai au kusimamia kisiasa Mauaji ya Oktoba 29

    Profesa Issa Shivji, amesema kuwa Taifa linaendelea kupitia katika maombolezo na maumivu makali ya kisaikolojia kutokana na matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba, huku akisisitiza kuwa njia pekee ya kuliponya taifa hilo ni kuwepo kwa uwajibikaji wa kisheria na kisiasa. Akizungumza leo Agosti 28...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mashtaka ya Ugaidi kama Silaha ya Hofu

    Katika makala yake yenye kichwa "Terrorising Academic Freedom in Tanzania" Profesa Issa Shivji amekosoa mashitaka ya ugaidi yanayoendelea nchini, akisema ni ukandamizwa kwa uhuru wa kitaaluma na ongezeko la matumizi ya nguvu za dola nchini Tanzania. Akijadili kuhusu kukamatwa kwa wanataaluma...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Profesa Shivji: Mateso hasa yale yanoyotendwa na vyombo vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu wa utu wa binadamu

    Juu ya Mateso Mateso hasa yale yanoyotendwa na vyombo vya mabavu vya dola ni udhalilishaji wa hali ya juu wa utu wa binadamu. Hayasahauliki, hayasameheki wala hayakubaliki. Ni udhalilishwaji wa utu mara mbili. Moja ya yule aliyeteswa - utu wake unakanyagwa, unasagwasagwa na kutupiliwa mbali...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Profesa Shivji: Wizi wa kura unafanya Uchaguzi upoteze maana na ndio maana watu wengi hawataki kushiriki

    Wakuu, Nimekutana na clip hii ya Profesa Issa Shivji akiwa anazungumza na Jenerali Ulimwengu kwenye kipindi ambacho kinarushwa The Chanzo Clip ni ya mwaka jana lakini vitu walivyoongea humu vinareflect tunayokutana nayo na kuyaona sasa hivi Kuna sehemu hapo Profesa Shivji amehoji na kusema...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Profesa Shivji ashangazwa na ripoti mpya ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ataja maeneo yaliyopwaya kwenye ripoti hiyo!

    Wakuu, Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, amesema kuwa ripoti ya tathmini ya namna redio zilivyoripoti Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, iliyotolewa na Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC), ilipaswa kuchambua mchakato mzima wa uchaguzi huo na...
Back
Top Bottom