prof. kitila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Prof. Kitila: Tunajisahau sana tunaopewa mamlaka ya Kiserikali tunadhani ni bosi wa kila mtu

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II), amesema viongozi wanaopewa mamlaka ya Kiserikali huwa...
  2. tonicimmobility

    PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  3. R

    GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo, amewasihi watanzania kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa Mgombea huyo anasifa zote za Kiongozi mkuu wa Nchi, ikiwemo uimara ‎ ‎Ameeleza hayo leo Oktoba 12, 2025 alipokuwa katika...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Prof. Kitila: Nitatatua changamoto ya usafiri wa mwendokasi Kimara

    Huyu naye kama alikuwa hayupo Dar hivi miaka yote hiyo, leo hii ndio aseme atatatua changamoto ya mwendokasi Kwamba siku zote alikuwa wapi? Uongo mwingine ni wakishamba sana. Analipambania tumbo lake tu hapo hakuna lolote ==================== Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha...
  5. Waufukweni

    GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17

    Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema, "Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
  6. tonicimmobility

    GE2025 Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za maoni Ubungo

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza mara baada ya kupiga kura ya maoni leo Agosti 4, 2025 katika kituo kilichopo kwenye ukumbi wa Kibo Park uliopo Ubungo Kibo, ambapo amepongeza zoezi hilo akisema...
  7. Waufukweni

    GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  8. Mindyou

    Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  9. GENTAMYCINE

    Prof. Kitila Mkumbo Wewe ni Mtani wangu kutoka Singida, ila kwa 'Upuuzi' kama huu ndiyo maana huwa Nakudharau na siiamini 'Doctorate' yako kabisa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini. Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
  10. Nipe Maji

    Prof. Kitila Mkumbo atunukiwa tuzo ya uongozi mahiri

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo, ametunukiwa tuzo maalum na Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo kama ishara ya kutambua uongozi wake mahiri na mchango mkubwa katika kusimamia ajenda za maendeleo ya taifa. Kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, Katibu...
  11. Lady Whistledown

    Kuna watu Waongo, halafu kuna Prof. Kitila, "Madumu ya Maji yamepotea Dar, ashukuriwe Rais". Dar ipi hiyo???

    "Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Prof. Kitila ahakiki taarifa zake kwenye daftari la mpiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ameongoza kwa mfano kwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, baada ya kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari hilo Machi 17, 2025...
  13. Pascal Mayalla

    Live from Hyatt Regency: Mkutano wa Waziri Prof. Kitila Mkumbo, TIC na EPZA na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri, (TEF)

    Wanabodi, Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri. https://www.youtube.com/live/WFUYWRfpEMo?si=IndxqjQLpwOEv19tKaribuni. OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI TAARIFA...
  14. Waufukweni

    Prof. Kitila: Rais Samia Ametunza Amani, Usalama na Utulivu wa Nchi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kutunza hali ya usalama na amani nchini tangu alipoapishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Akizungumza na wananchi wa Kata...
Back
Top Bottom