HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU,
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB),
AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23
A. UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/-
Aliekua Waziri wa Kilimo...
Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
"Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
Kiwango cha ulaji wa mayai nchini kwa mtu mmoja kwa mwaka kimeshuka kutoka mayai 300 hadi mayai 106.
Kauli hiyo imetolewa jana Oktoba 17, 2021 na Waziri wa kilimo, Profesa Adolf Mkenda wakati akifunga maadhimisho ya kilele cha siku ya chakula duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro...
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesababisha kuahirishwa mara mbili mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro(KNCU) kwa sababu zake binafsi mkutano uliopangwa kufanyika jana ukasogezwa mpaka leo lakini mkutano huo umefutwa tena leo na kusogezwa mpaka Jumatatu...
Waziri wa kilimo prof Adolf Mkenda amekuwa mbogo baada ya kuzungushwa na mrajisi wa ushirika mkoa wa Mtwara na kuamua asimamishwe kazi mara moja na amemtaka katibu mkuu apeleke mrajisi mwingine mkoa wa Mtwara.
Pia waziri wa Mkenda amempa onyo kali mrajisi wa ushirika mkoa wa Kilimanjaro (KCU)...