printer

In computing, a printer is a peripheral device which makes a persistent representation of graphics or text, usually on paper. While most output is human-readable, bar code printers are an example of an expanded use for printers. The different types of printers include, 3D printer, Inkjet printer, laser printer, thermal printer etc.

View More On Wikipedia.org
  1. HP LaserJet printer P1102 Inahitajika

    Habarini na poleni na majukumu wanajamvi. Inahitajika HP LaserJet printer P1102 iwe used one hand (imported) au new kwa matumizi ya kiofisi. Iliopo imechoka na imefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo. Kwa atakayekuwa nayo katika duka lake ani-PM tufanye biashara kwa mkoa wa Mbeya...
  2. Bado mnatumia Excel kufuatilia mali (Asset) za kampuni?

    kampuni nyingi bado kufuatilia laptop, printer, furniture au vifaa vya kazi kwa makaratasi au Excel. Changamoto inaanza vifaa vinapopotea au kukosekana kwa taarifa nani anatumia kifaa gani. Asset Management System inasaidia, 1. Kufuatilia vifaa vyote kwa urahisi 2. Kujua nani amepewa kifaa...
  3. Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  4. Epson A2 Printer nahitaji

    Naomba anaejua wapi naweza pata printer ya Epson inayoprint A2 anijulishe
  5. Msaada: Natafuta digital camera na printer nzuri kwa ajili ya biashara ya passport size photos

    Wadau wa technology. Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa. Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport. Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3. Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
  6. Wataalamu wa printer

    Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata kwenye maandishi. Sio coloured lines, unprinted lines.
  7. EFD machine niliyonunua TZS 500,000 kubadilisha printer ni TZS 142,000 siyo upigaji huu?

    TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
  8. Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  9. Jaman wadau hii printer unaweza kuwa bei gani?

    hii ni canon mp250 all in one Kwa bei inaweza kua ngapi? Na nikiyakanyaga inaweza uzika Kwa haraka?
  10. Nahitaji printer ya epson yenye hali nzuri. Nipo moshi

    Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro Njoo na ofa yako Mawasiliano. 0672701329
  11. Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani

    Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani -Haitumii wino wala haijazwi wino -Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote. -Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
  12. Jipatie Epson printer L3250 kwa bei nafuu

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:printing,scanning and photocopying Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  13. Nauza Epson printer L3250 mpya

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 450,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  14. Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
  15. O

    Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo Vidogo au kampuni za kufanya printing. Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
  16. D

    Nipeni ushauri kuhusu printer

    Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi. Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila...
  17. Natafuta mtu wa kuifanyia service printer

    Kazi ya haraka kesho tarehe 24. Printer inajam kila baada ya kuprint page chache. Aina ni Hp Canon 404. Location. Dar es salaam ubongo. Please DM me with your quotation
  18. Nahitaji Epson Printer L805

    Wakuu Habari. Mwenye aina hiyo ya printer anicheki Ofa yang laki 5. Pia nahitaji Lens ya nikon 50mm
  19. INAUZWA Nauza printer Canon IP1188

    Habari wana jukwaaa kama kichwa cha habari kilivoanza hapo juu nauza printer yangu nilokuwa na malengo ya kufanyia kazi ila kutokana na mambo kwenda vile nilivyopanga nimeona bora mali yangu inisaidie kuliko kudhalilika mwenye kuhitaji mawasiliano ni +255747654242 nipo Dar
  20. Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

    wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer? Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…