In computing, a printer is a peripheral device which makes a persistent representation of graphics or text, usually on paper. While most output is human-readable, bar code printers are an example of an expanded use for printers. The different types of printers include, 3D printer, Inkjet printer, laser printer, thermal printer etc.
Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo.
Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo.
Kuna zile naskia...
Wadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata kwenye maandishi. Sio coloured lines, unprinted lines.
TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro
Njoo na ofa yako
Mawasiliano. 0672701329
Portable Bluetooth Printer kwa kutolea risiti za mauzo dukani
-Haitumii wino wala haijazwi wino
-Ni ya kuchaji, unaweza kuichaji muda wowote wakati wowote.
-Bei ya ofa Tshs 90,000 tu, imebaki moja
Kwa msaada zaidi piga 0659-358-599
Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu...
nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo
Vidogo au kampuni za kufanya printing.
Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi.
Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila...
Kazi ya haraka kesho tarehe 24.
Printer inajam kila baada ya kuprint page chache. Aina ni Hp Canon 404.
Location. Dar es salaam ubongo.
Please DM me with your quotation
Habari wana jukwaaa kama kichwa cha habari kilivoanza hapo juu nauza printer yangu nilokuwa na malengo ya kufanyia kazi ila kutokana na mambo kwenda vile nilivyopanga nimeona bora mali yangu inisaidie kuliko kudhalilika mwenye kuhitaji mawasiliano ni +255747654242 nipo Dar
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.