Akizungumza kwenye Kongamano na Wadau wa TPSF na PPPC Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Hamad Hamad, alieleza kuwa mradi wa Daraja la Dar- Zanzibar unaweza kufungua milango ya biashara kwa kiwango kikubwa, lakini akasisitiza changamoto za maandiko ya miradi ya PPP...