popo

Popo is a foamy and cold drink typical in the south of the state of Veracruz and some areas of the state of Oaxaca, like the basin of Papaloapan or Istmo. Its main ingredient is cocoa, which is sweetened with sugar or panela (unrefined brown sugar), and is mixed with water; also azquiote called cocomeca en Oaxaca is added, and/or chupipi, both foaming agents. Some recipes frequently flavor it with cinnamon and/or anise, and they thicken it with maize dough or rice.
It is a ceremonial drink, which is prepared for weddings, baptisms, birthdays, patron saint festivals... Its consumption occurs with the cocoa harvest, between the months of August to December. In Ojitlán, a type of cocoa called tiger is used for the white veins of its fruits. In the local towns, such as Tuxtepec, it is common to find street vendors offering a glass of popo for $10–15 MXN pesos.
Its name comes from the Nahuatl popocti ([thing] "that smokes" or "that foams"), according to anthropologist Florentíno Cruz, in reference to the foaming characteristic of this drink. It is compared with Popocatépetl, which is the "mountain that smokes". Popo is strongly linked to indigenous communities, particularly the Nahuas, Mixe-Popolucas, Zoque-Populucas, Mazatecs and Chinatecs. For these communities, the very preparation of the popo is in itself a ritual, which can last up to two days.

View More On Wikipedia.org
  1. kiboko ya popo

    Sumu na dawa maalum ya kufukuza na kuangamiza popo..sumu na dawa ya popo

    Hello.. Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama 1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta 2. Kelele nyakati za usiku 3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa...
  2. Kalaga Baho Nongwa

    Sawa Haraka pesa hamjui kalaga baho ni nani, mmeshindwa hata kuwauliza jirani zenu Pesa X na bahari cash au popo cash wananijua kivipi?

    Kausha damu Haraka pesa wamejichanganya kunikopesha elfu 40 wakajua kinyonge. Pesa ile nimepita nayo na hapa wanatumia mbinu walitotumia Wenzao waliopita wakashindwa. Ilifika kipindi mpaka mfanyakaz wa boba cash alikuwa analia anaomba nirudishe japo nusu ya pesa yao nyingine wamenisamehe na...
  3. W

    Mambo usiyoyafahamu kuhusu Popo (Bat)

    Kila tarehe 17 Aprili huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Popo (International Bat Day). Lakini wanyama hawa huchukuliwa vibaya, huogopwa na mara nyingi kuchukiwa na kudhaniwa kuwa ni viumbe wenye Bahati mbaya, mkosi na Hatari jambo linalofanya wauwawe kwa hofu. Lakini sehemu nyingine kama...
  4. Ulongupanjala

    Popo wananisumbua sana

    Wakuu heshima kwenu. Nina nyumba yangu ambayo ipo kijijini kwetu inatumika mara chache chache. Kumekuwa na tatizo la kudumu la popo kuwepo. Naomba kujua dawa ya kuwafukuza na kuwaondoa kabisa hawa popo. Pia kuna tatizo la wadudu wadogo jamii ya siafu wanaochimba msingi wa nyumba kwa Kasi...
  5. M

    kwa nini Story za Popo Bawa kaonekana Temeke na Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni siku hizi hatuzisikii ? je popo bawa amefariki ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
  6. Equation x

    Wazee wa kuamsha popo, mpo kiwanja gani leo?

    Muda wa kusogea sogea kwenye viwanja unakaribia; vijana wa zamani wanaita muda wa kwenda kuamsha popo. Ni muhimu kujipongeza kidogo pale panapo wezekana, na si kila siku kuwa bize kwenye utafutaji, kwa sababu maisha ni haya haya. Bajeti yangu kwa leo ni finyu sana, kwa hiyo wale warembo...
  7. ELI COHEN

    Popo mwenye uwezo wa kuambukiza corona amegundulika huko China.

Back
Top Bottom