ponografia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ponografia inakufundisha kuwa ngono ni burudani, nina uhakika hii ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa ufuska na watu kufanyiana matendo ya kinyaa

    Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred. Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea ya Kaskazini wapatwa na uraibu wa kutazama pornografia baada ya kupewa internet isiyo na vikwazo na Urusi

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama picha za ngono, kulingana na ripoti ambayo haijathibitishwa na afisa wa Pentagon. Kwa mujibu wa...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Pornhub, XVideos na Stripchat zatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua wanazochukua kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao

    Tume ya Ulaya imezitaka tovuti tatu kubwa zaidi za video za ngono duniani kutoa maelezo kuhusu hatua walizochukua ili kulinda watoto dhidi ya kufikia maudhui yao na kuzuia ukatili wa kijinsia. Uamuzi huo umechukuliwa ili kuzilenga kampuni za Pornhub, XVideos na Stripchat chini ya Sheria ya...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kanye West: 'Nina uraibu wa ponografia na iliharibu familia yangu'

    Rapa Kanye West amefichua jinsi uraibu wake wa ponografia ulivyoharibu familia yake. Bilionea huyo amethibitsha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram Chapisho hilo linasemekana kumrejelea mama mkwe wake wa zamani, Kris Jenner - ambaye anamsimamia Kylie na mke wake wa zamani, Kim Kardashian...
Back
Top Bottom