polisi wa kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania FFU wanakuzwa tu, tatizo watanzania ni waoga sana, Polisi wa Kenya ni habari nyingine lakini wakenya sio waoga

    Ilikuwa mwaka 2011 nikiwa chuoni Mbeya, Nilichojifunza ile siku FFU ni wa kawaida sana, nguvu yao ni pale wakikutana na watu waoga wanaokimbia hovyo, wachache wanaobaki inakuwa rahisi kushughulikiwa, lakini watu wakisimamia msimamo wao, FFU wanaweza kukimbia wenyewe. Mbeya ikageuka uwanja wa...
  2. mirindimo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PICHA: Polisi wa Kenya akizima moto baada ya kituo cha polisi kuchomwa moto na vijana

  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maiti ya Polisi wa Kenya yadhalilishwa baada ya kuuawa na gangs wa Haiti

    Chanzo: https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19 Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wadhihakiwa nchini Haiti

    Wahaiti wajue kwamba, mambo yanaenda kwa mipango! Au wanataka waone polisi wa Kenya wamekufa kwa wingi ndio waamini kama wanafanya kazi! Habari kamili; Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wanapata faida gani kupigana na magenge yaliyokata tamaa na maisha Haiti?

    Huwa naangalia video jinsi vikosi maalumu vya Kenya Haiti wanavyokomaa mtaani kupambana na magenge ya waarifu huko Haiti. Wale jamaa ukwaangalia na kiongozi wao Babacue ni watu waliokata tamaa na maisha. Hawana cha kupoteza. Ndio maana wazungu wamekwepa hilo jukumu na kutafuta umasikini mwenzao...
Back
Top Bottom