Mheshimiwa nina taarifa mbili kama ifuatavyo:
Tarehe 24/10/2023 kati ya saa tatu na saa nne nilipita Moshi na gari binafsi nikitokea Arusha. Safari yangu hiyo ilikuwa ni safari ndefu iliyoanzia Tanga, Dar, Morogoro, Dodoma, Manyara, Arusha na siku hiyo nilipita Moshi katika safari ya Kurudi...