polepole ajiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Kati ya Walimzunguka Mfalme na Kumsifu Alivyopendeza na ile Invisible Robe, na yule mtoto aliyemweleza ukweli, kuwa yuko, nani anamsaidia kweli?

    Wanabodi Baada ya Polepole kuandika barua ya kujiuzulu, niliandika Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake? Leo nimemsikiliza akiongea, naomba kuuliza , kuna ile simulizi ya mfalme...
  2. Mshana Jr

    Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

    Majira ya saa tano usiku wa jana walivamia kwa dadaake na Polepole kwa kile kinachosemwa kusaka taarifa! Uhalisia ni kwamba "walipangwa" wakapangika wakaingizwa cha city kwamba muhuni yuko nchini Nina hakika walishakagua entries zote na kujiridhisha kwamba muhuni hajazitumia.. Ila kwakuwa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jimmy Mafufu: Polepole anatamani kuishi maisha ya awamu ya 5 kwenye awamu ya 6

    Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole. Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo. Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele. Ametumia...
  4. Idugunde

    Mtanzania wa hali ya chini jihoji. Kama Polepole ameacha mshahara mnono kwa sababu ya CCM iliyojaa ufisadi. Wewe unafaidika na nini?

    Unafaidika na kanga? Baiskeli na Tisheti? CCM imekosa muelekeo. Tumuunge mkono shujaa wa Tanganyika Tundu Lissu Antipass tupate mabadiliko ambayo yataleta ustawi wa taifa letu
  5. Ex Spy

    GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    More to come… Kaiweka barua mwenyewe mtandaoni: ======= Kwa heshima na unyenyekevu, naomba kukutaarifu kuwa nimefikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yangu ya Uongozi wa Umma nikiwa Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Havana – Cuba, pamoja na uwakilishi wa...
  6. Izizimba

    Humphrey Polepole ni mmoja kati ya mamilioni. Apewe maua yake

    Kibongo bongo yeyote anaejiuzulu apewe maua yake. Humphrey Polepole ni one in a million. Nimeona kuna watu wanahoji Polepole kwanini hakufanya wakati wa JPM? kama tatizo ni ukiukaji wa haki za binadamu. Kwanza kutowajibika wakati fulani haikuzui kuwajibika baadae. Kisa wakati fulani hukukemea...
Back
Top Bottom