Huyu jamaa namkubaligi sana.
Kwa sasa naona hatas Mimi naenda kumuangalia kwenye lig Yao.
Pogba ana entertaining football huwez ukamfananisha na MD Hawa tunaowaona sasa.
Professionally asingependa kupoteza, na kwa sasa amepata club ya heshima. Na atamalizia kazi yake hatujui huko Arabia au...